msingi wa Ghorofa au nyumba ya kawaida,?ipo mlimani/bonde au tambarare?
je kiwanja kipo dar if yes tuma gps cordinates
you wont be dissapointed na ushauri kazi nitakayo kupa
mim ilinigharim lak 4 mkuu
Maswali ya msingi haya.... Kwa kuongezea, vyumba vya ukubwa gani, unataka na store, jiko, dinning room, sitting room na public toilet humo humo?msingi wa Ghorofa au nyumba ya kawaida,?ipo mlimani/bonde au tambarare?
je kiwanja kipo dar if yes tuma gps cordinates
you wont be dissapointed na ushauri kazi nitakayo kupa
Maswali ya msingi haya.... Kwa kuongezea, vyumba vya ukubwa gani, unataka na store, jiko, dinning room, sitting room na public toilet humo humo?
hii niliyoielezea mimi au anayoiulizia jamaa?Nyumba ya uswazi.
msingi wa Ghorofa au nyumba ya kawaida,?ipo mlimani/bonde au tambarare?
je kiwanja kipo dar if yes tuma gps cordinates
you wont be dissapointed na ushauri kazi nitakayo kupa
mim ilinigharim lak 4 mkuu
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.
Asanten kwa ushauri
inategemea na aina na ukubwa wa nyumba yenyewe. biashara huria mkuu
By mayenu
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.
Asanten kwa ushauri
dah,arif,kweli alikupiga sana,2.5Mil??,utafikiri bei ya kuchorewa ghorofa let say 3 hivii,pole sana mkuu,hongera kwa kuwaza kujenga manake nowdays vijana mkiwa nazo mnawaza mabinti na bata tu,mkiwaangalia wakina 50 cent wanavyoishi mbele na nyinyi mnataka kwenda nao sawa. Tuje kwenye point yako ya msingi,kama una material yote,andaa kadirio la juu kama 1mil hvii kama ni kijumba cha kawaida na sio kaghorofa,kila lakheri mkuu
Kama ni kiwanja kilichopimwa na anakufuatilia kupata building permit usilalamike ingawa iko juu kidogo. sasa sijui unataka kufanya setting tu au ni pamoja na kujenga msingi wenyewe? Kwa nyumba kama ya kwako kama unanunua kila kitu setting out yenyewe ni sh laki mbili maximum.