Bei za msingi wa nyumba

Bei za msingi wa nyumba

mayenu

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
162
Reaction score
83
Habari, kwa waliojenga na kama kuna mafundi humu,eti fundi kukufanyia setting ya nyumba na msingi inaweza kurange ktk bei gani.ukubwa wa nyumba ni 3 bedroomed.nataka niwe na idea ili asije nifanyia mibei yaajabu mana mi mgeni ktk haya maswala.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
msingi wa Ghorofa au nyumba ya kawaida,?ipo mlimani/bonde au tambarare?
je kiwanja kipo dar if yes tuma gps cordinates
you wont be dissapointed na ushauri kazi nitakayo kupa
 
Very analytical. Kiprofeshenare zaidi!?
 
msingi wa Ghorofa au nyumba ya kawaida,?ipo mlimani/bonde au tambarare?
je kiwanja kipo dar if yes tuma gps cordinates
you wont be dissapointed na ushauri kazi nitakayo kupa
Maswali ya msingi haya.... Kwa kuongezea, vyumba vya ukubwa gani, unataka na store, jiko, dinning room, sitting room na public toilet humo humo?
 
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.

Asanten kwa ushauri
 
msingi wa Ghorofa au nyumba ya kawaida,?ipo mlimani/bonde au tambarare?
je kiwanja kipo dar if yes tuma gps cordinates
you wont be dissapointed na ushauri kazi nitakayo kupa

Kiwanja kipo dar, ipo eneo la tambalale, ni nyumba ya kawaida si gorofa
 
Kama mwenzio alichorewa laki 4 haina maana ni bei yake...i wish km Architects wasingekua na njaa wakaungana,hata hizi story za laki laki zisingekuwepo tena
 
Kama ni kiwanja kilichopimwa na anakufuatilia kupata building permit usilalamike ingawa iko juu kidogo. sasa sijui unataka kufanya setting tu au ni pamoja na kujenga msingi wenyewe? Kwa nyumba kama ya kwako kama unanunua kila kitu setting out yenyewe ni sh laki mbili maximum.
 
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.

Asanten kwa ushauri

dah,arif,kweli alikupiga sana,2.5Mil??,utafikiri bei ya kuchorewa ghorofa let say 3 hivii,pole sana mkuu,hongera kwa kuwaza kujenga manake nowdays vijana mkiwa nazo mnawaza mabinti na bata tu,mkiwaangalia wakina 50 cent wanavyoishi mbele na nyinyi mnataka kwenda nao sawa. Tuje kwenye point yako ya msingi,kama una material yote,andaa kadirio la juu kama 1mil hvii kama ni kijumba cha kawaida na sio kaghorofa,kila lakheri mkuu
 
By mayenu

Am a lady actually, yani ni kanibamiza kiasi yakwamba nashndwa elezea,he says he is a professional an ramani alionichorea cwezi ikuta mahali .... but dahh for crying out loud yani kanfanyia ndivo cvyo heri ata ingekua 1million.but 2.5 dahhh ila poa.ila now nshakua mjanja nakwambia ntakavokua nafanya maresech watanikoma
 
Kama ni kiwanja kilichopimwa na anakufuatilia kupata building permit usilalamike ingawa iko juu kidogo. sasa sijui unataka kufanya setting tu au ni pamoja na kujenga msingi wenyewe? Kwa nyumba kama ya kwako kama unanunua kila kitu setting out yenyewe ni sh laki mbili maximum.

Hata hantaftii hyo building permit.nataka bei ya setting na msingi mana hyo ndo stage yakwanza mana cjaanza kabisaaaa hata cjasafisha kiwanja tho c kichafu nilikua nalimalima mazao
 
Jamani nawashukuru kwa mawazo yenu.

They mean alot to me.be blessed a million
 
Back
Top Bottom