By mayenu
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.
Asanten kwa ushauri
dah,arif,kweli alikupiga sana,2.5Mil??,utafikiri bei ya kuchorewa ghorofa let say 3 hivii,pole sana mkuu,hongera kwa kuwaza kujenga manake nowdays vijana mkiwa nazo mnawaza mabinti na bata tu,mkiwaangalia wakina 50 cent wanavyoishi mbele na nyinyi mnataka kwenda nao sawa. Tuje kwenye point yako ya msingi,kama una material yote,andaa kadirio la juu kama 1mil hvii kama ni kijumba cha kawaida na sio kaghorofa,kila lakheri mkuu