Huyu jamaa hata ukisoma nyuzi zake anazoandikaga ni utumbo utumbo tu. Hamna kitu kichwani yani.Kila siku mnawaza namna ya kuhujumu Serikali tu, watu wa namna hii ni wa kuwapiga risasi tu, kuendelea kuishi nao ni kuangamiza Taifa.
SIJUI KWANINI NIMESOMA HUU UPUMBAVU.Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Hapo ndipo ulipoishia? Hakuna ubunifu zaidi ya huo?Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Nauli za tren zinatakiwa ziwe chini maradufu ili kuongeza ushindani baina ya makampuni ya wamiliki wa mabasi na serikali.Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Hivi umewaza mataifa kama Japan,China na Singapore wangekuwa na akili za kipumbavvu kama hizi zako leo hii wangefika hapo alipo kimaendeleo?Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.
Inaonyesha hata treni yenyewe umesimuliwa.Pia, nauli zipandishwe ili kupunguza walalahoi kujazana kwenye treni, halafu wakiwa nadani ya treni wanatamani kushuka/kuondoka na kila wanachokiona e.g feni, taa, koki, na makava ya viti.
Point yako ni nzuri sana,ila uliposema "Tena raisi mwenyewe ndio huyu" umeharibu.Unaonekana una chuki na raisi aliye madarakani.Sasa raisi ana shida gani?Unatakiwa ukubali kuwa hii nchi uraisi ni kupokezana.Na Kila raisi ana mazuri yake na mabaya yake.Uliamini kuwa magu ni mungu na hakuna wa kuziba pengo lake.lakini hadi sasa kimafanikio taka usitake magu kazidiwa mbali sana na Samia.Tulichomic Kwa sasa ni zile kelele za mtu mmoja nchi nzima(asikike yeye tu),kuongea hadi mishipa ya shingo inataka kuchomoka,kupoteza Watu Kila iitwayo leo.Magu uchumi wake aliujengea mdomoni kuliko uhalisia.Alisema hii ni Tanzania ya viwanda.Viwanda vyenyewe atakuonesha vyerehani,vya kufyatua matofali!Inamaana kabla yake haviwepo?Mimi mwenyewe ni mtoto wa fundi cherehani.Mshua aliianza kumiliki cherehani tangu utawala wa Nyerere,halafu magu anakuja kudai kavianzisha yeye!!!La mwisho;Tafuta hela.Hakuna raisi wa kugawa hela bna.Kuna raia mmoja wa kigeni ambaye ameishi kidogo hapa nchini aliwahi kuniambia kitu kimoja kuwa, wafanyabiashara wengi wa kibongo hasa Hawa tunawaona ni wafanyabiashara wakubwa[/] huwa wanafanya mambo yao kimazoea na hawana maarifa ya kukabiliana na mabadiliko yoyote yanayotokea kwenye Tasinia ya biashara kwa haraka....
Mara nyingi akitokea mtu yeyote wa kuwapa challenge inayotishia ustawi wa biashara zao, njia pekee wanaiona ni sahihi kukabiliana na challenge hiyo ni kupambana na mtu huyo hili wampoteze au kumlazimisha afanye biashara wanavyotaka wao katika namna ambayo biashara zao hazitaathirika.
Na hata siku moja huwa hawafikirii kuja na idea mpya ambayo ni Bora Zaid katika kuboresha huduma zao hili kumshinda mshindani wao huyo anayetishia ustawi wa biashara zao.
Mfano mzuri ni kama wewe hapa mleta mada unayejiita Meneja Wa Makampuni yaani umekaa umeumiza kichwa na hatimae ukaona eti njia Bora ya kukabiliana na kuzorota kwa MAPATO kwenye biashara ya mabasi kwa Sasa ni kupandisha nauli ya SGR...like serious?... Kwamba bila kushusha nauli ya SGR basi hakuna njia nyingine ya kumaintain level ya mapato kwenye biashara ya mabasi..??
Lakini sikushangai sana maana ndio akili zenu wabongo na nna uhakika sio wewe tu mwenye mawazo haya... Si ajabu hili wazo likaja likawafanyiwa kazi kwa kushirikiana na viongozi waliomo serikalini ambao nao pia wana sehemu kubwa ya umiliki kwenye hizo kamili zenu za mabasi.
Kama mliweza kuiua ATCL bila Aibu hili kampuni kama Precision Air na Fast Jets ndio ziwe kampuni tegemeo kwenye usafiri wa anga hapa nchini hadi alivyokuja Magu kuifufua, mtashindwa nini kuiua SGR hili muendelee kusafiri na Kimbinyiko na ABC???? Tena raisi mwenyewe mliyenaye ndio huyu?
Nchi hii ina watu wenye akili ndogo sana kuanzia juu mpaka chini, wenye hela na wasiokuwa na hela.... Na ndio maana iko hapa ilipo.
Unazijua nauli za treni kwenye hizo Japan ukilinganisha na basi?Hivi umewaza mataifa kama Japan,China na Singapore wangekuwa na akili za kipumbavvu kama hizi zako leo hii wangefika hapo alipo kimaendeleo?
Kwamba na wao wangesema wabaki kwenye usafiri wa mabasi tu na wasijiangaishe kabisa na kufanya mapinduzi ya usafiri wa tren, leo hii wangekuwa Wana tren za kisasa zenye uwezo wa kusafiri Bara na Bara??
Hivi unajua kwamba kama wote tungekuwa na akili hizi za kupuuzi leo hii hata hiyo Simu usingekuwa nayo na badala yake ungekuwa Bado unatumia barua kuwasiliana na watu walioko mbali na wewe? Una habari kwamba ujio wa simu umeua kabisa matumizi ya posta?? Sasa vuta picha kwamba wamiliki wa posta nao wangesema simu ziuzwe kwa bei ya juu sana kiasi kwamba ni raia wacheche wawe na uwezo wa kuafford hili majority waendelee kutumia barua, je tungekuwa Bado tuko wapi kimaendeleo?
Watu wenye akili za kipumbavvu kama zako wavivu wa kufikiri ndio wamefanya mpaka leo hii watanzania Bado tunaitegemea TANESCO kwenye huduma ya umeme shirika ambalo matatizo yake ni Yale Yale tu miaka nenda miaka Rudi..!!
Majitu kama wewe ambao mmejawa na akili za kimwinyi na msiojua kuendana na mabadiliko ni kikwazo kikubwa Sana Cha maendeleo.
Hapo Kenya Sasa hivi wanautumia Starlink ya Elon Musk kwenye huduma ya internet, na ujio wa starlink umefanya makampuni makubwa ya mitandao ya simu kama SAFARICOM kupunguza bei ya vifurushi vya internet sambamba na kuongeze speed hili kukabiliana na ushindani wa ghafla wanauopata kutoka Starlink..
Wafanyabiashara wa kibongo mnapenda kumonopoly biashara halafu akili za kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia hamna, yaani mko tayari kulirudisha taifa nyuma kimaendeleo hili tu biashara zenu zistawi wajinga sana nyie.
Nchi hii ni kubwa Wapeleke kwinginekoKatika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Wewe na WALIOKUTUMA wooote ni wapumbavuu na ni maadui wakubwa wa maendeleo ya taifa hili... Watu kama wewe ndio mlifanya wengine tukampenda Magufuli licha ya mapungufu yake Kibao, maana alijua kudeal na washenzy kama wewe.Speed ndio main factor boss
Nchi hii ni kubwa Wapeleke kwinginekoKatika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Ukiona mshindani wako anafanikiwa wewe ndio tafuta jukumu la kukwamua biashara yako. Sio kuanza kumpangia mshindani wako cha kufanya. Huu ni uvivu wa kufikiri.Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Siongei kitu bila kujua mpuuzi mmoja wewe.Unazijua nauli za treni kwenye hizo Japan ukilinganisha na basi?