Bei za nauli za treni za kwenda Morogoro na Dodoma zinatakiwa ziwe juu zaidi ili kuweka uwiano wa biashara kati ya mabasi na treni

Nauli za ndege huwa ni kubwa duniani kote.
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.
We ni mpumbavu. Ikiwa mwenye
speed kubwa anatoza gharama ya chini kwa ni ni mwenye mwendo wa konokono asicharge pungufu? Ili watu wakimbilie bei badala ya speed
 
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.
Sio spidi tu hata utaratibu wa tiketi,huduma za ndani kama vile vyoo abiria wenye matatizo ya kisukari na mengine yanayofanana na hayo hawawezi kuacha kupanda treni.Pia uhakika wa muda wa kuanza safari nacho ni kigezo tosha.Kwa ufupi wenye mabasi ya safari ndefu waweke mabasi classic na huduma Bora kama za iliyokuwa kampuni ya mabasi ya Scandinavia.
 
Sio kwamba nauli za basi na treni zilingane ili wenye mabasi na treni washindane kuboresha huduma mkuu?
 
What if wakipandisha still watu wakakaongezeka kwenye treni badala ya mabasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…