Ligaba
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,063
- 2,874
We ni mpumbavu. Ikiwa mwenyeNauli za ndege huwa ni kubwa duniani kote.
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.
speed kubwa anatoza gharama ya chini kwa ni ni mwenye mwendo wa konokono asicharge pungufu? Ili watu wakimbilie bei badala ya speed