DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nataka kuhamia huko mnaishi vizuri SanaLita Tano mafuta ya alizeti ni 17000, na mchele kilo ni 1500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kuhamia huko mnaishi vizuri SanaLita Tano mafuta ya alizeti ni 17000, na mchele kilo ni 1500
Vipi wewe huko ulipo bei zipoje?Muulize vizuri huyo shemeji. Isije ikawa Kuna mtu anachangia Sasa ili usistuke anakuambia Bei zimeshuka.
Juhud za Rais wetu, nyie misukule wa magufuli simlikuwa mnasema Samia kapandisha bei ya vyakulaKwa msiojua kipindi hiki ni cha mavuno, msishangilie sana. Huku niliko mchele kilo moja ni 1700 mpaka 1600.
Ikifika mwezi wa 8 hadi wa 12 mje mlete mrejesho kama kilo ya mchele haitakuwa ni sh.4500/=[emoji23][emoji23][emoji23]
Bei bado ziko juu ya miti. Tumejaribu kukata miti zishuke chini. tumeambia tunaharibu mazingira. Tunatakiwa tuote mbawa tuzifuate huko huko juu ya miti.Vipi wewe huko ulipo bei zipoje?
😂😂 nyie ndio wale mnaishi kwa dada zenu,Bei bado ziko juu ya miti. Tumejaribu kukata miti zishuke chini. tumeambia tunaharibu mazingira. Tunatakiwa tuote mbawa tuzifuate huko huko juu ya miti.
Una vinasaba vya mtu aliyelishwa limbwata.😂😂 nyie ndio wale mnaishi kwa dada zenu,
Sikulaumu.
Hapana,ni ngumu kukufanyia ivo....pale ndo amependaUchumba haina shida wee unganisha nyaya aamue yeye🤣
Achana nae,akafie mbeleKamsamba mwaka huu wamevuna sana mpunga, muelekeze aende kwa Raphael pale bei ni hizo ulizotaja japo atakutana na misamiati kama debe na ndonya
DooooUyole mpenz
Si huwa anatumwa dukani mkuuAvunje ndoa gani huyo analala sebuleni kwa dada yake, atajua wapi bezi za vyakula.
Duh hii hatari muulize vzr mkeoNdugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?