Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Mzee wewe bando nyanya sana kwenye nyanja za international and Technology. Wewe endelea tu kupiga domo. Hapa tunaongea kwa facts hatuongei porojo za vijiweni. Sawa?
Ha ha haaa..sawasawa mtaalam
 
Dah!!!😃
 
 
Hata 65 nm ya miaka 10 ama 20 iliopitwa inaitwa nanotechnology, haimaanishi ni manufacturing process ya kisasa.

China hana Kampuni ya kisasa ya kutengeneza Soc thats a fact. Huawei alivyokua banned kutumia TSMC aliacha kabisa kutengeneza Kirin sababu hakuna alternative China, Soc za Huawei za miaka kadhaa iliopita bado ni za kisasa kuliko China anachoweza kutengeneza leo.
 
Mzee unaleta porojo sana. Hebu leta source za information zako. USA wana haha halafu wewe kutoka TZ unaleta mbwembwe. Leta source za information zako hapa.

 
China hana tishio lolote kwa America amejaribiwa na kuchokozwa kila kona lakini China anaogopa kuingia kati akamalizwa, amekuwa kama malaya wa kimakonde
 
China hana tishio lolote kwa America amejaribiwa na kuchokozwa kila kona lakini China anaogopa kuingia kati akamalizwa, amekuwa kama malaya wa kimakonde
China policy zake za international siyo confrontation bali ni collaboration.
 
Upo sahihi mkuu IC maana yake ni intergrated Circuits.

Ikikamilika kwa uundaji wake na lengo lake ndo inaitwa Chip....Hizi chips za sasa zina complex techinology ambayo ndani yake ina-include semi-conductors(ICs) na software (codes).

Ila hizo chips zinazozungumziwa ni very far away zina micron-semicinductors na special coding.
 
Nanotechnology hio uliolink sio hii tunayozungumzia.

Nm kwenye manufacturing process humaanisha disatance baina ya Transistor, mtu akisema 7nm ama 5nm anamaanisha ukubwa, km, m, cm, mm, nm etc

Wewe umelink nano technology ya chemistry huko, hayo ni material kama material mengine naquote kwenye Article yako


Sasa hizo Nanoparticle zinazoingizwa kwenge seli za binadamu kutibu cancer na magonjwa mengine zinahusiana nini na tunachokiongea hapa?
 
Mzee kumbe hujui nanotechnology. Ndio maana unabisha tu.

China mwaka jana wameanzisha Phototransitor kwahiyo badala ya electronic tunaongelea photons.

Ngoja nakula kwanza nikimaliza nakupa elimuelimu.

NB: Nambo ya technology ndiyo field yangu.
 
Material kama material mengine what do you mean? Hivi unajua hata law of conservation of matter wewe?

Material mengine ni material gani hayo? Au tuanze kujadiliana syansi hapa mzee? Hatutaki elimu ya juu juu tu.


Nanotechnology is a field of science and technology that involves manipulating and controlling matter at the nanoscale level. It deals with structures, devices, and systems with dimensions typically ranging from 1 to 100 nanometers. To give you an idea of scale, one nanometer is one billionth of a meter.

Nanotechnology encompasses various disciplines, including physics, chemistry, materials science, biology, and engineering. It involves understanding and harnessing the unique properties and behaviors of materials and systems at the nanoscale.

At this scale, the properties of materials can differ significantly from their bulk counterparts. For example, materials may exhibit enhanced strength, increased conductivity, altered optical properties, or different chemical reactivity. These properties make nanotechnology attractive for a wide range of applications across many industries, including electronics, medicine, energy, and manufacturing.

Nanotechnology enables scientists and engineers to manipulate individual atoms and molecules to create new materials, structures, and devices with specific properties and functions. It involves techniques such as nanofabrication, self-assembly, and nanomanipulation to design and build structures at the atomic and molecular levels.

Applications of nanotechnology are diverse. In electronics, it has led to the development of smaller and more powerful computer chips and electronic devices. In medicine, nanotechnology is used for drug delivery systems, targeted cancer therapies, and medical imaging. It is also employed in energy production and storage, environmental remediation, and lightweight and high-strength materials, among many other areas.

Nanotechnology continues to advance rapidly, with ongoing research and development exploring new possibilities and applications. It holds great potential for revolutionizing various industries and improving many aspects of our lives.
 
Sasa sisi tunazungumzia ukubwa yaani Metric system wewe unaongelea vitu vingine upo out of topic

Nm ni nano metre, kwa maana sentimita moja ina mm 10, MM 1 ina micro metre 1000, micro metre 1 ina nano metre 1000.

Kama ninavyokwambia huko juu nm inamaanisha distance baina ya transistor, ama gate pitch ama jambo jengine kutegemea na kampuni inavyopima, ni size na sio material, Hizi cpu material yanayotumika ni mchanga aka Silicon.

Sasa Unaambiwa EUV ndio inachimba hio silicon kuchora hizo transistor na mambo mengine kwa upana wa nanometre 1.1 wewe unaleta story za Seli za binadamu, sijui cancer na mambo mengine ambayo hata hayahusiani.

Kubali tu mkuu hilo neno Nano limekuchanganya, pengine umegoogle ukacopy na kupaste sababu kule kuna nano na hapo kuna Nano ukajua ni kitu kimoja.
 
You are writing many words. Ngoja nikuulize kidogo. Hivi unajua company zipi za china zinajihusisha na electronic Nanotechnolog?
Hivi unajua ni technology zipi Inatumika huko china kutengeneza wafer?

Nijibu kwanza maswali hayo.
NB:- Tunaongelea electronic industry (Nanotechnology)
 
Nimesoma porojo zako zote hizi.
Kisha nimegundua kuna gap kubwa sana kwenye technology. Huenda huijui china au unafanya makusudi tu.

Since 2021 HUAWEI walishatengeneza
Kitu hiki:-

5nm Kirin processor

Hebu nakuomba uweze update taarifa zako:-



1. Semiconductor Manufacturing International Corporation (SMIC): SMIC, China's largest foundry, has been investing in EUV lithography to enhance its manufacturing capabilities.

2. Institute of Microelectronics of the Chinese Academy of Sciences (IMECAS): IMECAS has been involved in EUV lithography research and development. They have been working on developing advanced EUV lithography technologies, including mask fabrication and process optimization.

3. Wuhan National Laboratory for Optoelectronics (WNLO): WNLO has been conducting research on EUV lithography, particularly in the areas of optics, mask fabrication, and process integration. They aim to contribute to the development and advancement of EUV technology in China.

4. Huawei HiSilicon: Huawei's semiconductor division, HiSilicon, has been focusing on advanced chip design and manufacturing. They have been reported to be exploring the adoption of EUV lithography for their advanced semiconductor production.
 
Nishaelezea huko juu, Kampuni kubwa ya China kwenye Manufacturing ya Hizi Cpu ni SMIC ambayo ina uwezo wa kutengeneza Cpu kwa 14nm tech, wanaweza pia 7nm ila yield bado ni 15% hivyo sio viable kwenye Biashara.

Wameweza kutengeneza Kupitia Machine za DUV za hao hao waholanzi (Asml),

Ndo hapo vikaja vikwazo vya USA kwamba wasipewe EUV na DUV pia wasipewe, hivyo hawawezi kuendelea.

So mpaka sasa china hawezi kutengeneza CPU za kisasa inabidi arudi nyuma from scratch atengeneze Alternative ya EUV.

Na Wafer Zote zinatokana na Mchanga, inatofautiana tu namna ya kuu purify huo mchanga, Most purified form of Silicon inatoka makampuni ya Japan, Wote Kina Samsung Tsmc na wengineo wanatoa huko, china bado hajafika level hii.
 
Kirin imetengenezwa na TsMC ya Taiwan nimeshakuambia toka huko juu, tatizo hata husomi.
1. Semiconductor Manufacturing International Corporation (SMIC): SMIC, China's largest foundry, has been investing in EUV lithography to enhance its manufacturing capabilities.
Smic alikua ananunua DUV toka Asml sasa hivi ndio kapigwa ban.
Sikakataa
Sijakataa
Ila zote hizo mbili zinasuport hoja yangu na sio hoja yako, hao wanafanya research sababu hawana hio technology, wanataka kupata Tech kama hio, kama nilivyokuambia huko juu Dunia Nzima EUV utaipata Asml uholanzi tu.

Baada ya kukataliwa kutumia hio tech imebidi China waanze kutafuta na wao ila kwa sasa hawana uwezo huo.
4. Huawei HiSilicon: Huawei's semiconductor division, HiSilicon, has been focusing on advanced chip design and manufacturing. They have been reported to be exploring the adoption of EUV lithography for their advanced semiconductor production.
 
Mzee umeacha tena EUV?
Hebu leta proof zako kuhusu EUV ni uholanzi pekee
 
Saaawia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…