Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Mchawi lugha
Well that’s sad, ila mbona ata habari yenyewe ya mada imeletwa kwa lugha ya kigeni.

Kwa kifupi documentary inadadavua industry breakdown jinsi marekani ilivyokuwa inajitegemea 100% hadi leo kuzalisha 25% ya semiconductors, nani anatengeneza nini kwenye value chain, market share, leader in innovation, who are doing catch up.

Kwanini Biden katenga $52 billion kama ruzuku ya kurudisha uzalishaji marekani, hakina nani wanajenga viwanda vikubwa huko Arizona (you wanna go there kama una skills sahihi, massive employment opportunities to come), security issues, mitigation strategies.

Hayo mambo kuyajadili inataka kuelewa industry structures and politics which influences them; badala ya kuandika opinion from the top of our heads.
 
Ingawaje kwa mbinde mno nimekuelewa

Na ni sahihi wajuz wa mambo ya industry wanapaswa kutupa madin ili tuyajue kiusahih yanayoendelea
 
Hiko kipindi kimefanya hiyo kazi ya kuelezea muundo wa hiyo industry kwa upande mkubwa nani anatengeneza nini kwenye value chain, yupo nchi gani, anamuuzia nani, security issues, patent issues, plans za baadae hasa upande wa US na mambo mengine luluki.

Lengo la kuiweka hiyo video ilikuwa kupata background, hali ilivyo na mipango ya baadae kwenye industry; sasa tena kama mchawi lugha huo mtihani mwingine.

Good morning
 
Hiko kipindi kimefanya hiyo kazi ya kuelezea muundo wa hiyo industry kwa upande mkubwa nani anatengeneza, yupo nchi gani, anamuuzia nani, security issues, patent issues, plans za baadae hasa upande wa US na mambo mengine luluki.

Lengo la kuiweka hiyo video ilikuwa kupata background, hali ilivyo na mipango ya baadae kwenye industry; sasa tena kama mchawi lugha huo mtihani mwingine.

Good morning
Meya kwimbi nimekukubal mno

Ikitokea umeweka bandiko kuhusu haya mambo ya industry structure usisahau kunitag

Kuhusu swala la lugha endelea kunivumilia tu na kuna wengi hawaelew kimalkia ila wameamua kufa kiofisa

Staftah njema bandugu
JamiiForums-661793165.jpg
 
Back
Top Bottom