Beka au Dogo aslay nani wa kuibeba Yamoto band?

Asalale kamoyo umekachanja chale
Bwana huyo Beka anajua libebe limekalisha ngoma zote za Aslay
 
beka anajua mno tangu yamoto nilipredict jamaa anakipaji sana though by then nilishindwa kulinganisha nani ana kipaji zaid kati ya hao wawili but now jibu lipo wazi
 
Uko sawa mkuu, nakubaliana na wewe..
 
Kwa kweli beka mkali. Kuna ngoma katoa na mr blue inaitwa "tuwe sare" iko poa sana, in short jamaa atafika mbali sana mungu amsaidie.

New broom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Ni swala la muda2 mkuu, wataelewa
 
Aslay ndio baba yao....Mpaka Mwaka huu unaisha Aslay atakuwa level za Dimond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…