elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Asalale kamoyo umekachanja chale
Bwana huyo Beka anajua libebe limekalisha ngoma zote za Aslay
Bwana huyo Beka anajua libebe limekalisha ngoma zote za Aslay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asalale kamoyo umekachanja chale
Bwana huyo Beka anajua libebe limekalisha ngoma zote za Aslay
Aslay no nyingine
Laiti beka angetoa idadi ya nyimbo alizotoa Aslay angekua hakamatiki
beka anajua mno tangu yamoto nilipredict jamaa anakipaji sana though by then nilishindwa kulinganisha nani ana kipaji zaid kati ya hao wawili but now jibu lipo wazi
Kwa kweli beka mkali. Kuna ngoma katoa na mr blue inaitwa "tuwe sare" iko poa sana, in short jamaa atafika mbali sana mungu amsaidie.
New broom sweeps well but old one knows every corner!!
Hao wajinga walikua wanatembea nyota ya Aslay sana...bora ilo kundi limevunjika. Pumbavu.
Uyo beka levo yake alikiba sio asley.
Sasa nakuacha ulewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuachane na wale wajinga wawili turudi hapa kwenye mziki mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza mshindo ama unawashwa?Sa ally kiba kafikaje hapo? kwan bado kipusa anawaumiza vichwa?