TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

R.I.P Luke Fleurs
 
Wa-South in nature wapo aggressive saana.....mkikosana wanachofikiria nikukumaliza.

Hili lipo damuni mwao.....Visasi vipo ndani mwao. Mnaosema serikali imeshindwa kulimaliza ni vigumu saana....maana yeyote popote anaweza kuua au hata kujiua.
 
Yale yale yaliyomkuta Lucky Dube.
Kuishi SA ni kwa wasiwasi na mashaka sana.

Jamaa ni wavivu halafu wana wivu na husda sana na maendeleo ya mtu.
 
Wa-South in nature wapo aggressive saana.....mkikosana wanachofikiria nikukumaliza.

Hili lipo damuni mwao.....Visasi vipo ndani mwao. Mnaosema serikali imeshindwa kulimaliza ni vigumu saana....maana yeyote popote anaweza kuua au hata kujiua.
Kuna mtu alileta uzi humu eti NCHI ZENYE WAISLAMU WENGI NDIZO ZENYE VURUGU. Sasa sijui huko kusini mwa aftika nako kuna waislamu % ngapi?! Nachomaanisha hapa ni upumbavu wa baadhi ya watu ambao ikitokea mwislamu kakosea hawamwangalii kama binadamu mwingine anayeweza kukosea ila wanalifanya kosa lile kuwa ndio mrengo au sera za dini yake!! Lakini kosa hilohilo likifanywa na mtu wa dini tofauti na uislamu huchukuliwa kuwa ni tatizo lake binafsi bila kuhusisha kosa hilo na dini anayoifuata kuwa imechangia kumfanya kuwa na mrengo wa uhalifu. Sasa swali ni kwa wagalatia mnaosema eti uislamu umebeba sera za ukatili na mauaji na ugaidi , JE HAO WAZULU NI DINI GANI ILIYOWAFUNDISHA KUWA NA UKATILI NA UGAIDI??!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…