TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

South Africa uhalifu upo juu sana.
Serikali yao si ifanye namna hakuna kinacho shindikana, kwanza akikamatwa muuaji adhabu ya mfano.

Russia kipindi wanatoka kwenye ujamaa kipindi cha Yeltsin uhalifu ulikuwa juu sana, lakini leo hii pamekuwa shwari.

RIP.
wanawalea kima wenzao in the name of haki za binadamu.
 
South Africa Nahisi Kwa Africa Ndio Nchi Yenye Matukio Mengi Ya Watu Kupoteza Maisha Kwa Kupigwa Risasi
 
Jamari naombea mtani mrudi salama.Mbinu ni moja tu mwachieni mamelodi wawafunge mrudi na uhai wenu.
 
Back
Top Bottom