TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

Johannesburg Ni miongoni mwa majiji hatari duniani, inashika nafasi ya 5

Ndugu yangu aliwahi kunusulika mara 3 kupigwa risasi, aliwahi sema hatowaza au kutamani kuishi south africa pamoja na kuwa alikuwa na ajira ya kulipwa pesa nyingi yupo TZ na anaendele vizuri na maisha yake😔

Pole sana kwa kikosi cha kaizer 🙏
RIP mwamba 🕯
 
Wazulu ni kawaida Yao hawa jamaa fahari Yao ni kuua waafrika wenzao Cha kushangaza umoja wa Africa upo kmya
nchi nyingi sana ziliipambania hii south Africa kupata uhuru Leo vijana wa Huko wanajifanya mafia.
 
Hata sisi majanga haya tunayo,lakini, hawa wenzetu wapo level nyingine. Mtaani kwao ni kwa moto wallahi.
 

atasimulia wajukuu kama atakuepo! Huku unapigwa kama mbwakoko hamna cha mwanasheria wala nani haki ya binadamu haipo
 
Ga
Hakuhitaji ubabe. Anatakiwa waende akina sheikh Mazinge na masheukh wengine wakatoe Daawa ili jamii ijue Diana ya kuumbwa kwake
Dawa ya kukata mikono?wanaweza wakawa na amani bila shuruti kama nchi za scandinavia.
 
Ona sasa kwani hao wahalifu hua wanaua kwa kutumia jina la allah kama nyie?hao ni wahalifu tu.Kobazi ndio wenye kauli mbiu ya "waislam wote ni ndugu"haijalishi ni gaidi,jambazi,mwizi...uislam ni utamaduni wa kiarabu mnaweza mkawa sawa kusema wote ni ndugu!
 
SA ishakuwa Marekani ya Afrika. Hakuna nchi za kipumbavu Dunia hii kama Marekani na Afrika Kusini, ukiacha uchumi imara wa nchi hizo mbili kwenye mabara husika, umiliki wa silaha za moto umerahisishwa sana.
Popote pale vijana weusi wanaanza kujisifia usela Hakuna amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…