Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Nchi ya Belarus kupitia kura iliyopigwa Jumatatu, imeamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia na hivyo ipo tayari kurejesha silaha zake za nyuklia iliyozikabidha kwa Putin pasi na masharti yoyote.
Pia imeamua kuyaweka majeshi ya Russia kwa kudumu katika ardhi yake. Hatua hiyo imefuatia mpango wa NATO wa kutaka kuweka silaha za nyuklia ktk nchi za Poland au Lithuania.
" Kama nyie mataifa ya magharibi mtapeleka silaha za nyuklia Poland au Lithuania, kwenye mipaka yetu, basi nitamweleza Putin arejeshe silaha za nyuklia nilizoamua kuzitoa mwanzo pasi na masharti yoyote", Rais wa Belarus alisema.
Safi sana, kila nchi iwe na silaha za nyuklia ili tuheshimiane. Sio mie ninakuwa nazo halafu nakukataza wewe usiwe nazo ati hujastaarabika.
=====
www.aljazeera.com
“If you [the West] transfer nuclear weapons to Poland or Lithuania, to our borders, then I will turn to Putin to return the nuclear weapons that I gave away without any conditions,” Lukashenko said.
Pia imeamua kuyaweka majeshi ya Russia kwa kudumu katika ardhi yake. Hatua hiyo imefuatia mpango wa NATO wa kutaka kuweka silaha za nyuklia ktk nchi za Poland au Lithuania.
" Kama nyie mataifa ya magharibi mtapeleka silaha za nyuklia Poland au Lithuania, kwenye mipaka yetu, basi nitamweleza Putin arejeshe silaha za nyuklia nilizoamua kuzitoa mwanzo pasi na masharti yoyote", Rais wa Belarus alisema.
Safi sana, kila nchi iwe na silaha za nyuklia ili tuheshimiane. Sio mie ninakuwa nazo halafu nakukataza wewe usiwe nazo ati hujastaarabika.
=====
Belarus votes to give up non-nuclear status
Belarusian referendum ditching neutral status comes as Russia put nuclear forces on high alert amid Ukraine war.