Belarus yaamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia, itarejesha tena silaha zake za nyuklia kwenye ardhi yake

Belarus yaamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia, itarejesha tena silaha zake za nyuklia kwenye ardhi yake

Ifike wakati dunia iwe denuclearized..., Sio Marekani, Israel wala Pakistan..., Haya mambo ya kumwambia Korea au Iran wasiwe nazo wakati wewe unazo ni hatari kwa dunia...

Zote zipigwe chini, this weapons will be humanity downfall down the line..., sio kwa kuamua hata kwa bahati mbaya...
 
Ila Urusi akitumia tu Nuclear kwenye hii Vita basi nitamdharau Sana. Maana mbaya wake sio Ukraine Ni NATO. Arushe kombora kwenye nchi za NATO au USA. Ni udhaifu mkubwa kuitishia nchi ya amani Kama Ukraine na Nuclear.
Hakua na mpango wa kutumia nyukilia kwa Ukraine.
Unajua west walishaanza kujikusanya kijanja na kutaka kuingilia kwa nguvu.
Putin kashitukia mchezo.kaweka zana zake muhimu katika Hali ya tahadhari.
Ukraine imekwisha Isha.
Hamna kitu hapo.
 
Ila Urusi akitumia tu Nuclear kwenye hii Vita basi nitamdharau Sana. Maana mbaya wake sio Ukraine Ni NATO. Arushe kombora kwenye nchi za NATO au USA. Ni udhaifu mkubwa kuitishia nchi ya amani Kama Ukraine na Nuclear.
Wewe mbona unaropoka wapi urusi kataka kutumia siraha za nuke kwa nchi isiyo na siraha za nuke ,siraha za nuke na maonyo ya putin ni juu ya nchi zenye kumpinga zenye NUKE BOMU KWANZA KISHA KWA VIBARAKA WAO ,HII NDIYO INAIFANYA USA KUOGOPA KUINGIA VITANI
 
Back
Top Bottom