Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Kila aliye mtuma hakutekeleza alicho muagiza [emoji15] Ndipo Kaja Mwenye ktk umbile bora la kibinadamu Kutuokoa..[emoji122] [emoji122] [emoji123]
KWA mfano km nani alitumwa na hakutekeleza mpk ikamlazimu aje mwenyewe?

Ususahau kuja na sifa za mungu
 
Kwa hiyo wataka kutuambia,hakujuwa kama atakao waagiza hawatatenda alichowaagiza?Kwa hiyo alikuwa na mapungufu ya kutojuwa litakalotokea baadaye?
Zaburi 239:4,16.
"Maana hamna neno ulimini mwangu,usililojuwa kabisa,Bwana ...siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado".
Ni jinsi gani Mungu anaweza kutabiri maelezo kwa kina katika Agano la kale ,kama yeye hajui siku za baadaye.
wewe mshauri wake [emoji47] [emoji348] [emoji53]
 
Hiyo biblia wewe huisomi vizuri mbona wwngi tu wameitwa wana wa Mungu.
1. Soma Mwanzo 6:1-4
"Wana wa Mungu na binti wa wanadamu"
2. Ayubu 1:6;3:1;38:7.
"Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu(To 8:19)
3.Wagalatia 3:26-29:Ninyi nyote mumekuwa Wana wa Mungu.
4. 1 Yohana 3:2:sisi sote ni wana wa Mungu.
Sio Yesu tu kaitwa mwana wa Mungu.
wewe na mimi tumekubali Mungu anao Wana wengi tu [emoji4] tatizo allah jee naye anakubaliana na sisi..[emoji47] [emoji348] [emoji4]
 
wewe na mimi tumekubali Mungu anao Wana wengi tu [emoji4] tatizo allah jee naye anakubaliana na sisi..[emoji47] [emoji348] [emoji4]
Kwa hiyo unakubali kama Mungu wa Biblia ana wana wengi.Kwa nini hao wote tusiwaite 'waungu',tumuite mwana mmoja tu.
 
Kwa hiyo unakubali kama Mungu wa Biblia ana wana wengi.Kwa nini hao wote tusiwaite 'waungu',tumuite mwana mmoja tu.
cha ajabu nini hapo...[emoji38] [emoji12] tuna smg, rocket launcher, jet fighter, gruned, mkuki, mshale hizo zoote ni silaha..[emoji123] [emoji106] allah hakubaliani na sisi cholo [emoji38] [emoji38]
 
kuna rafik alinionyesha kwenye quran iliandikwa sept 11 ndege ya chuma itaangusha jengo la refu na pacha kubwa kuliko yote lakin mwaka aujatajwa
Mm kuna demu wangu alinionyesha kipande cha bible nacho kikisema kitaipiga Wtc na mwaka ulitajwa
 
izo ni conspiracy, hao ni wahuni wanatafuta cheap popularity
 
Biblia inamtambua muhammad kama kafir [emoji117] Yuda 1:3-4, mlaaniwa [emoji117] Gal 1:6-9 mpinga Kristo [emoji117] 1 Jn 1:22 mtu wa motoni [emoji117] Uf 14:9-12 sawa [emoji47] [emoji53]
Hahahaha! Tafuta maana ya kafiri mkuu.
 
wakuu iko aya katika Quran tukufu inayohusiana na sept 11 attack. labda tujaribu kuichambua.
1.Hii aya inapatikana katika sura ya tisa-Suratul Ahzab ( shambulio nalo lilitokea mwezi wa tisa yaani sept)
2. hii sura inapatikana katika Juzuu au Chapter ya 11. (shambulio nalo lilikuwa tarehe 11)
3. katika aya ya 110 katika sura hiindio kuna aya hiyo (kumbuka majengo yale yalikuwa na ghorofa 110.
4. aya hiyo inasema na mimi nanukuu "hayatodumu majengo yao ambayo wameyajenga kwa shaka ndani ya mioyo yao" (S.A)
NB: WHETHER NI COINCIDENCE AU ILITABIRI SHAMBULIO HILI MUNGU NDIE ANAEJUA.
Muongo, Surat al ahzab ni sura ya 33, na ina aya 73.
 
hiyo ilikuwa ni coalition cintrolles
 
Kuna mchezo umechezwa hapa.Ni kama lilipounguzwa soko kuu la Songea mwaka 2002
Aliyesuka mpango ule na namjua kabisa nilipeleka kesi mahakamani ilipoishia sijui...Maana mimi nilipotelewa na hotel iliyoitwa Banana kiosk.....nimejiapiza kutafuta mashahidi zaidi mwingine ni wewe
 
Back
Top Bottom