Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

hiyo tisa kumi nimecheka khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati watu walimkandia mke wa dogo eddy yule alikuwa mtangazaji wa kipindi cha watoto ITV miaka ya zamani.
Lkn naamini mapenzi vile mtu anavyojisikia tusimpangie amuoe nani sbb mwisho wa siku yeye ndie anaenda kuishi nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umeandika ya moyoni hadi raha..na hivi umekuwa wa kwanza hapo sasa
mwanza jijini
 
Eddy katulia na wife ake like they doesn't exist at all! Wife yupo kininja 24/7, si ajabu hata Diamond mwenyewe hamjui! Sasa kwanini ndoa isitulie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…