Aisee, watu mna maneno yenye ukakasi!!Huyo ni mke au mume kavalishwa gauni tu,.. Usije kuta ni ndoa ya jinsia moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hao watoto wa Ben.?Hapa kwenye gradu yake akiwa na wanaeView attachment 1024374
Kwahiyo hapo kuna cost benefit analysisKusutwa ni suna
Ben anaoa na kuacha wadada wanaoishi ughaibuni wenye passport zao. Awe ameachwa na mzungu au alijilipua au alizaliwa yeye anachotaka ni mdada wa Ughaibuni mwenye life.
Akishakuwa mume halali huwashawishi wadada wachukue mikopo benki na hela Ben anaizungusha kwenye biashara zake.
Alishaoa Denmark na Uingereza alimuoa Suzy mtoto wa Kidigo.
Kwenye maslahi Ben haangalii sura.
Kuna wakati mdada wa Denmark alitaka Kinyaia Pub iuzwe apewe chake baada ya kujua alitumika mapenzi hakuna.
Daah mahendam boy wengine igeni mfano wa BenDuh basi igizo zuri cheki enzi za uchumba,mwaka jana hioView attachment 1024372
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena Movie yenyewe iwe ya kichawi[emoji23][emoji23]
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Daah ana watoto pia ambao sio wa Ben? Kweli usililie uzuri lilia bahatiHapa kwenye gradu yake akiwa na wanaeView attachment 1024374
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
πππNarudia tena cha muhimu ni upendo baba..."kwa niaba ya wazazi wa Ben"!
"heart broken"
hahaha chief hiyo misamiati yote inaendana na picha/mada au? [emoji28][emoji28][emoji23]Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Daah ana watoto pia ambao sio wa Ben? Kweli usililie uzuri lilia bahati
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusutwa ni suna