Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Kusutwa ni suna
Ben anaoa na kuacha wadada wanaoishi ughaibuni wenye passport zao. Awe ameachwa na mzungu au alijilipua au alizaliwa yeye anachotaka ni mdada wa Ughaibuni mwenye life.

Akishakuwa mume halali huwashawishi wadada wachukue mikopo benki na hela Ben anaizungusha kwenye biashara zake.

Alishaoa Denmark na Uingereza alimuoa Suzy mtoto wa Kidigo.

Kwenye maslahi Ben haangalii sura.

Kuna wakati mdada wa Denmark alitaka Kinyaia Pub iuzwe apewe chake baada ya kujua alitumika mapenzi hakuna.
 
Kwahiyo hapo kuna cost benefit analysis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena Movie yenyewe iwe ya kichawi[emoji23][emoji23]

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"

Nimecheka mno jaman
 
Ila ww@numbisa like una kaukomed..yaan unapost ukiwa serious mie huku navunjika mbav jaman khaaa
 
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
hahaha chief hiyo misamiati yote inaendana na picha/mada au? [emoji28][emoji28][emoji23]
 
Kumbe jamaa keshahesabu faida yake hapo

Back
Top Bottom