Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Umemaliza.
 
Hii dunia ni zaidi ya uijuavyo ndugu yangu; na ndio maana Waswahili wakasema, "ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi" na wengine wakasema, "vyote ving'avyo, usidhani dhahabu"! Kwa maana hiyo ndugu yangu isije yule unayedhani mume akawa ndie mke na yule unayedhani mke ndie mume mwenyewe; kwani dildo shi'ngi ngapi bhana!!!
Hii methali inanikumbusha darasa LA tano kuna jamaa aliitoa tukafikiri ni uongo.. Had Leo tunamuita NJPW njigi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu unaanzaje kumnanga binadamu mwenzio kuwa mbaya?
Watu saingine sijui mnajisahau?
Kwa hiyo mnamkosoa Mwenyezi Mungu kwa jinsi alivyomuumba?

Yani mnajiona nyie mko kama keki au siyo?




Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa gauni hilo bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
50983463_307069923345648_5857030954124956574_n.jpg
 
Back
Top Bottom