green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Dah kumbe anapenda mteremkoHamjui tu,dogo tangu enzi anasoma jitegemee alikua anacheza na fursa,kibibi farashuu miaka hiyo kinauza viepe tai mtaani ndio kilimfundisha mapenzi Ben.
Akitoka shule anajua kuna plate yake pale jioni.
Kibibi nacho kinamwambia fata nyumbani. Dogo akifika huko ni kukamuliwa tu.mpaka akazoea badae ikawa live tu.
Sasa huyo farashuu ukimuona mbona kaoa mrembo hapo.
#bamia_ndefunene