Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Kweli jamaa hataki upinzani kaamua kubeba juve halafu sura ya baba.


Hata ukisafiri kwenda sayari nyingine una uhakika hamna mtu anasumbua nyumbani kwako
Hayo maneno ya kujifariji tu. Huoni ana watoto wengine, je aliwapataje? Hata wewe akikuchunuku k ya bure utaikula tu ingawa sura ya baba mdogo wake
 
Kusutwa ni suna
Ben anaoa na kuacha wadada wanaoishi ughaibuni wenye passport zao. Awe ameachwa na mzungu au alijilipua au alizaliwa yeye anachotaka ni mdada wa Ughaibuni mwenye life.

Akishakuwa mume halali huwashawishi wadada wachukue mikopo benki na hela Ben anaizungusha kwenye biashara zake.

Alishaoa Denmark na Uingereza alimuoa Suzy mtoto wa Kidigo.

Kwenye maslahi Ben haangalii sura.

Kuna wakati mdada wa Denmark alitaka Kinyaia Pub iuzwe apewe chake baada ya kujua alitumika mapenzi hakuna.
Kweli kabisa kumbe Suzy waliachana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona bibi harusi nguo kama imetoboka mbele au ilikuwa kwenye kabat miakamingi alaf watanzania atujui kuvaa kabisa yani
tapatalk_1550391334726.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom