Ben Kinyaiya anatarajia kusogeza jiko

Nashukuru Mimi ni mwanaume wa shoka,siyo kwamba najisifia ila imetangazwa humu kwamba Mimi siyo kama Deo kisandu wala Ben Kinyaiya.Napiga shoo za kibabe.
Deo kisandu ndo yule wa nivana? na kinyaiya kunengua na mapozi na kujitoboa vipini....wakitokea kwenye tv hadi huw anaona aibu kwa waifu, wanaaibisha jamii ya wanaume wote nchini.
 
nyinyi endeleeni kupiga majungu lakini dada zenu dahawa wanazipata
mkuu usitishwe na mtu anayeweka picha yuko na mwanamke kwenye public, jiulize kama yeye anajiamini kwanini anaweka picha ili kila mtu ajue alilala na mwanamke? kwani kuna wangapi wameoa lakini wanashikishwa ukuta vilevile? aache tabia za kike. wachagga hatuko hivyo.
 
Hicho kidani ni cha kike..au mi sioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…