Ben Kinyaiya anatarajia kusogeza jiko

Ben Kinyaiya anatarajia kusogeza jiko

Vyuma vinavyoendelea kukaza watu watarudi kwenye mstari mnyoofu
 
View attachment 649219 MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya amefunguka kuwa anatarajia rasmi kuvuta jiko.

Kinyaiya aliiambia Full Shangwe kuwa, Mungu akijalia hivi karibuni atauaga ukapera rasmi kwa kufunga ndoa na mwenza wake ambaye hakutaka kumuanika wazi.

“Unajua ndoa ni mapenzi ya Mungu, kama mwanadamu sina mamlaka kihivyo, ila Mungu akijalia ‘soon’ ninafunga ndoa na mwandani wangu,”alisema Kinyaiya.


Muungwana
Yeye mwenyewe jiko....
 
Following


60c6857ed4c537c0953fbdfbadf1e520.jpg

ccb8b2ec8468d9de4c6820e105068669.jpg
60d230739d6b81552917dcf43c5fca9f.jpg
 
Back
Top Bottom