Ben Kinyaiya anatarajia kusogeza jiko

Ben Kinyaiya anatarajia kusogeza jiko

mkuu usitishwe na mtu anayeweka picha yuko na mwanamke kwenye public, jiulize kama yeye anajiamini kwanini anaweka picha ili kila mtu ajue alilala na mwanamke? kwani kuna wangapi wameoa lakini wanashikishwa ukuta vilevile? aache tabia za kike. wachagga hatuko hivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Deo kisandu ndo yule wa nivana? na kinyaiya kunengua na mapozi na kujitoboa vipini....wakitokea kwenye tv hadi huw anaona aibu kwa waifu, wanaaibisha jamii ya wanaume wote nchini.
Hahahaha
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
lacky_moyomashine-20181105-0003.jpeg
 
Ameshaona uzee unakaribia, masela wa kwenda nao club wote wana familia zao hawana tena muda wa kukesha kwenye mabaa.

Tunamkaribisha kwenye chama.
Tena amechelewa kufanya usajili.
 
ila ndoa ovyo sana,mambo ya kubanana,kuulizana uko wapi
yani ni usumbufu mtupu
Well said.kua free kuna raha yake chief.ni wachache wenye akil nying wanaojua.Swal linalonikera unaoa lin?Sina budi kuwapa moyo soon ntaoa inshallah.Kumbe sina mpango na hata sijafikiria.
Maswahili tunaimizana kwenye kuoa lakin yanapokuja majukum ndoa imekuzidia hakuna wa kukusaidia.Wanabaki kukusema vibaya tena.
 
Back
Top Bottom