Ben Kinyaiya anatarajia kusogeza jiko

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Deo kisandu ndo yule wa nivana? na kinyaiya kunengua na mapozi na kujitoboa vipini....wakitokea kwenye tv hadi huw anaona aibu kwa waifu, wanaaibisha jamii ya wanaume wote nchini.
Hahahaha
 
Ameshaona uzee unakaribia, masela wa kwenda nao club wote wana familia zao hawana tena muda wa kukesha kwenye mabaa.

Tunamkaribisha kwenye chama.
Tena amechelewa kufanya usajili.
 
ila ndoa ovyo sana,mambo ya kubanana,kuulizana uko wapi
yani ni usumbufu mtupu
Well said.kua free kuna raha yake chief.ni wachache wenye akil nying wanaojua.Swal linalonikera unaoa lin?Sina budi kuwapa moyo soon ntaoa inshallah.Kumbe sina mpango na hata sijafikiria.
Maswahili tunaimizana kwenye kuoa lakin yanapokuja majukum ndoa imekuzidia hakuna wa kukusaidia.Wanabaki kukusema vibaya tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…