Nashukuru Mimi ni mwanaume wa shoka,siyo kwamba najisifia ila imetangazwa humu kwamba Mimi siyo kama Deo kisandu wala Ben Kinyaiya.Napiga shoo za kibabe.
Ukipita hapa bibie ujaze hizo dot pengine tumekuelewaHuyu ni mme, ni baba..... Hongera zake
Aisee itakua anakula wenzie[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 923401
Nadhani unamfahamu hana mambo yaloyion wala wanja......mwanamke mgumuuuuWaanze kugombania lotion na wanja na mke. Wanaume tumebaki wachache sana
DuuhView attachment 649219
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya amefunguka kuwa anatarajia rasmi kuvuta jiko.
Kinyaiya aliiambia Full Shangwe kuwa, Mungu akijalia hivi karibuni atauaga ukapera rasmi kwa kufunga ndoa na mwenza wake ambaye hakutaka kumuanika wazi.
“Unajua ndoa ni mapenzi ya Mungu, kama mwanadamu sina mamlaka kihivyo, ila Mungu akijalia ‘soon’ ninafunga ndoa na mwandani wangu,”alisema Kinyaiya.
Muungwana
Nadhani unamfahamu hana mambo yaloyion wala wanja......mwanamke mgumuuuu