Ben Pol amshukia Ali Kiba

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951


Haya ndio maoni ya BenPol kuhusu Kiba kwa mujibu wa TL yake.

Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda sawa. Hapo ndio tatizo linaanzia.
 
Labda watu wame-hack account ya BenPol
 
pwilo

Pwilo vipi mwanangu, unaizungumziaje kauli ya BenPol kuwa Kiba inamgharimu
 
Last edited by a moderator:
Jibu la Kiba limekaa poa..

Kiufupi naungana na B the king hapo na tatizo limeanza tokea kurudi kwake kwa mbwembwe za beef na Diamond wakati mwenzake ni mtu mwingine kabisa....

Pia kwa anachofanya kiba pia ni chini ya uwezo wake ninaweza kufananisha na hali waliyonayo chelsea, japo kwa kiba asilimia 100 anajitakia...
 

Kuna wenzangu huwa tuna group WhatsApp tulijadili hili suala na mwisho wa siku tukahitimisha kiba is overrated.
Asante Ben Paul kwa kusema hivyo pia
 
sasa Ben pol mbona unatafuta kick kitoto sana hivi?
 
Team kiba atayempinga ben pol hana mapenzi ya dhati na kiba..

Jamaa kaongea ukweli mtupu. Kiba kuna baadhi ya vitu anashindwa kuvifanya kwasababu tu ya mtazamo walionao mashabiki zake. Mashabiki wabaya sana wakati mwingine...
wewe unafikiri sisi mashabiki wa kiba tuna matazamo gani?
labda naweza nikabadilika
 
Ali Kiba mzee wa dua, mapigo ya shehe Yahaya hayo
 
 
Last edited by a moderator:
wewe unafikiri sisi mashabiki wa kiba tuna matazamo gani?
labda naweza nikabadilika

Mtazamo wa kiushindani.. Kila anachofanya Diamond kiba afanye zaidi yake, na mafanikio ya Diamond kiba afanikiwe zaidi yake, wakisahau kuwa Diamond ni level nyingine kabisa, Africa's A list artist, wakati Alikiba hayupo B, wala C.. Hicho ndio alichokizungumzia Ben pol hapo
 


Haya ndio maoni ya BenPol kuhusu Kiba kwa mujibu wa TL yake.


Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda sawa. Hapo ndio tatizo linaanzia.

Ben Pol anampenda Kiba...

Naungana na wewe ili Kiba asonge mbele zaidi kutoka sehemu aliyopo amteme 7 kinyume na hapo itamchukua miaka 1000 kusonga mbele.
 
hata nyie mna huo mtazamo sababu kiba akitoa kazi yoyote tu mtaanza majungu tu. sasa kama hapo mwisho umesema kiba hayupo kwenye B wala C unamaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…