matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Haya ndio maoni ya BenPol kuhusu Kiba kwa mujibu wa TL yake.
Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda sawa. Hapo ndio tatizo linaanzia.
Ben paul kaongea ukweli ila sasa mashabiki mandazi wa Kiba wasiopenda kuona anafanikiwa na wanaomjaza ujinga kujiona star wakati hamfikii hata Hamonize wametoa matusi kwa Ben paul balaa
Ifike hatua mashabik wa Kiba mmkubali ushaur bora wa kumfanya Kiba afanikiwe
Alikiba anajua mziki tena sana ila anaharibiwa na sifa za kijinga kutoka kwa mashabiki zake wasiojielewa
tifa