Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Kick!! Unadhani Ben Pol anaitaji kick kiasi hicho?
kulikuwa na haja gani kupost hivyo?
karibu tena ulipotelea wapi?
Na wewe ndo zari da malaya lady in Africa continent and the worldSasa hivi naanza kupata picha kumbe huyu Mpwilo ndio Joketi Kijoti
Haya ni mambo ya coke studio Africa sasa domo kahusikaje ku mu over rate kiba na mwenzako KidingiKuna wenzangu huwa tuna group WhatsApp tulijadili hili suala na mwisho wa siku tukahitimisha kiba is overrated.
Asante Ben Paul kwa kusema hivyo pia
nimekuelewa sana Abou SaydouIli dunia ione alicho post
Asante, nipo ila huwa nasoma tu
Hawa jamaa wanazinguana mush up za coke studio Africa ben pol anasema kiba kabebwa sio kama unavyo fikiria wewe hii vita ni kubwa mzeePwilo vipi mwanangu, unaizungumziaje kauli ya BenPol kuwa Kiba inamgharimu
100% anajitakia ki vipi yaniJibu la Kiba limekaa poa..
Kiufupi naungana na B the king hapo na tatizo limeanza tokea kurudi kwake kwa mbwembwe za beef na Diamond wakati mwenzake ni mtu mwingine kabisa....
Pia kwa anachofanya kiba pia ni chini ya uwezo wake ninaweza kufananisha na hali waliyonayo chelsea, japo kwa kiba asilimia 100 anajitakia...
Ka vitu gani Kidingi inaelekea unajua mbinu zake nyingi kama zipi fafanua?:Team kiba atayempinga ben pol hana mapenzi ya dhati na kiba..
Jamaa kaongea ukweli mtupu. Kiba kuna baadhi ya vitu anashindwa kuvifanya kwasababu tu ya mtazamo walionao mashabiki zake. Mashabiki wabaya sana wakati mwingine...
Jamaa chakula ya watu wa moro wewe ??Ali Kiba mzee wa dua, mapigo ya shehe Yahaya hayo
Na wewe ndo zari da malaya lady in Africa continent and the world
Kama hujui vitu vingine bora uache coz hii vita imeanza mbali toka ile post ya ben pol ya ku mu wish ali kiba birthday kaangalie ile picha aliyo post benpol insta utaelewa leo ni conclusion tu KidingiMtazamo wa kiushindani.. Kila anachofanya Diamond kiba afanye zaidi yake, na mafanikio ya Diamond kiba afanikiwe zaidi yake, wakisahau kuwa Diamond ni level nyingine kabisa, Africa's A list artist, wakati Alikiba hayupo B, wala C.. Hicho ndio alichokizungumzia Ben pol hapo
Hakuna anaye pinga kama kaongea point ila tatizo ni kwamba ben pol hana namba za kiba au kwa nn asimfungikie walipokuwa coke studio Africa mpaka amwage mchele hadharani ili iwejeBenard Paulo kaongea ukweli mtupu
Kama hujui vitu vingine bora uache coz hii vita imeanza mbali toka ile post ya ben pol ya ku mu wish ali kiba birthday kaangalie ile picha aliyo post benpol insta utaelewa leo ni conclusion tu Kidingi
Watu ndo wakanza kuwa na shaka nayeIle picha ina nini? Kwahiyo Kiba alichukia? Au una bahatisha tu
Kama hujui vitu vingine bora uache coz hii vita imeanza mbali toka ile post ya ben pol ya ku mu wish ali kiba birthday kaangalie ile picha aliyo post benpol insta utaelewa leo ni conclusion tu Kidingi