Ben Pol amshukia Ali Kiba

Ben Pol amshukia Ali Kiba

Teh Teh nimecheka hapo kwenye kutumbuliwa jipu...
 
Kuna wenzangu huwa tuna group WhatsApp tulijadili hili suala na mwisho wa siku tukahitimisha kiba is overrated.
Asante Ben Paul kwa kusema hivyo pia
Haya ni mambo ya coke studio Africa sasa domo kahusikaje ku mu over rate kiba na mwenzako Kidingi
 
Last edited by a moderator:
Pwilo vipi mwanangu, unaizungumziaje kauli ya BenPol kuwa Kiba inamgharimu
Hawa jamaa wanazinguana mush up za coke studio Africa ben pol anasema kiba kabebwa sio kama unavyo fikiria wewe hii vita ni kubwa mzee
 
Jibu la Kiba limekaa poa..

Kiufupi naungana na B the king hapo na tatizo limeanza tokea kurudi kwake kwa mbwembwe za beef na Diamond wakati mwenzake ni mtu mwingine kabisa....

Pia kwa anachofanya kiba pia ni chini ya uwezo wake ninaweza kufananisha na hali waliyonayo chelsea, japo kwa kiba asilimia 100 anajitakia...
100% anajitakia ki vipi yani
 
Team kiba atayempinga ben pol hana mapenzi ya dhati na kiba..

Jamaa kaongea ukweli mtupu. Kiba kuna baadhi ya vitu anashindwa kuvifanya kwasababu tu ya mtazamo walionao mashabiki zake. Mashabiki wabaya sana wakati mwingine...
Ka vitu gani Kidingi inaelekea unajua mbinu zake nyingi kama zipi fafanua?:
 
Last edited by a moderator:
Mtazamo wa kiushindani.. Kila anachofanya Diamond kiba afanye zaidi yake, na mafanikio ya Diamond kiba afanikiwe zaidi yake, wakisahau kuwa Diamond ni level nyingine kabisa, Africa's A list artist, wakati Alikiba hayupo B, wala C.. Hicho ndio alichokizungumzia Ben pol hapo
Kama hujui vitu vingine bora uache coz hii vita imeanza mbali toka ile post ya ben pol ya ku mu wish ali kiba birthday kaangalie ile picha aliyo post benpol insta utaelewa leo ni conclusion tu Kidingi
 
Last edited by a moderator:
Benard Paulo kaongea ukweli mtupu
Hakuna anaye pinga kama kaongea point ila tatizo ni kwamba ben pol hana namba za kiba au kwa nn asimfungikie walipokuwa coke studio Africa mpaka amwage mchele hadharani ili iweje
 
Kama hujui vitu vingine bora uache coz hii vita imeanza mbali toka ile post ya ben pol ya ku mu wish ali kiba birthday kaangalie ile picha aliyo post benpol insta utaelewa leo ni conclusion tu Kidingi

Ile picha ina nini? Kwahiyo Kiba alichukia? Au una bahatisha tu
 
Last edited by a moderator:
Ile picha ina nini? Kwahiyo Kiba alichukia? Au una bahatisha tu
Watu ndo wakanza kuwa na shaka naye
Kwa hyo abuu alichofanya ben pol ni kitu kizuri?? Maana ili swala kila mmoja ana uelewa wake
 
Kama hujui vitu vingine bora uache coz hii vita imeanza mbali toka ile post ya ben pol ya ku mu wish ali kiba birthday kaangalie ile picha aliyo post benpol insta utaelewa leo ni conclusion tu Kidingi

Sidhani kama kiba ana akili fupi kusema amaind ile pic.. Japo Ben pol amefanya kitendo cha ujasiri kupost hivo, ila ni uhalisia ilikuwa ni namna pia ya kuwasaidia mashabiki waliolala kwenye usingizi mzito, waache kumpelekesha msanii wao kufanya mambo hadi yaliyo nje ya uwezo wake....!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom