Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Watu ndo wakanza kuwa na shaka naye
Kwa hyo abuu alichofanya ben pol ni kitu kizuri?? Maana ili swala kila mmoja ana uelewa wake
Nataman all of you mngekua kama Ben pol,,, pwilo mashabiki wa aina yako ndio kikwazo kwa Kiba.
Anawadanganya nyie mnasema poa tu huku mioyo inawauma...
Ben Pol anampenda Kiba...
Naungana na wewe ili Kiba asonge mbele zaidi kutoka sehemu aliyopo amteme 7 kinyume na hapo itamchukua miaka 1000 kusonga mbele.
Fanyeni kampeni insta na twiter tengenezeni hashtag mkiweza kupata post mia 40 mta trend na lazima ashtuke. Kama mnampenda msaidieni 7 aliwapoteza nakaya na rose mhando yeye yupo bize na ishu zake nyie mnapata presha.
Ww jamaa ni shabiki wa ukweli wa ali kiba kuna ww na nifah kwny ukweli tuongee ukweli ben po hawezi tafuta kick kwa kiba na always ben po anaongea ukweli na ni fan wa kiba kuna cku alishamuuliza kiba kwann unatafuta kick kwa kutegeneza bifu kiba alimjibu ila kwa dharau ben po anamtakia mema kiba ila kuna mashabiki maandaZi kama pwilo wanamrudisha nyuma sana kiba na ndo hao wanamtia bichwa kuwa yeye ni zaidi ya diamond wakati kihalisia sio kweli na kiba anawadaganya always mashabiki wake anatakiwa abadilike

Nahisi Pwilo atakua ni wale wanaojiita Kiba blood fns,,,, Hawa majamaa kichwan hamna kitu kabisa.
Team kiba atayempinga ben pol hana mapenzi ya dhati na kiba..
Jamaa kaongea ukweli mtupu. Kiba kuna baadhi ya vitu anashindwa kuvifanya kwasababu tu ya mtazamo walionao mashabiki zake. Mashabiki wabaya sana wakati mwingine...
Haaaaaah nahisi pwilo yupo instagram muda huu ana mtukana ben paul sipati picha matusi anayo dondosha uko maana wamemvamia ben po uko
Kweli mi mwenyewe nakumbuka diamond siku moja alinikera sana nilimpa makavu sana mpaka akniblock nikafungua account mpya amenifollow tena hahahahaha.. japo siku ile nalivoniblock nilipitiliza mstari, ndio maana aliniblock, ila challenge ndio msingi mzuri wa mafanikio...
Haaaaaah nahisi pwilo yupo instagram muda huu ana mtukana ben paul sipati picha matusi anayo dondosha uko maana wamemvamia ben po uko