Nyumbu wa alikiba karibu
Demu wake nae kamsaidia kiba kwa kumponda Ben paul kua anawivu nyimbo zake za cokestudio hazijaingia kwenye album ya nyimbo bora za cokestudio.
Duuuuh hahahaha naona wamehamia europa league
Nataman all of you mngekua kama Ben pol,,, pwilo mashabiki wa aina yako ndio kikwazo kwa Kiba.
Anawadanganya nyie mnasema poa tu huku mioyo inawauma...
Abou Saydou bwana yani kiba angekuwa anasikiliza mawazo ya watu kama nyinyi ingekuwa kasharudi k/koo anauza duka aiseeWw jamaa ni shabiki wa ukweli wa ali kiba kuna ww na nifah kwny ukweli tuongee ukweli ben po hawezi tafuta kick kwa kiba na always ben po anaongea ukweli na ni fan wa kiba kuna cku alishamuuliza kiba kwann unatafuta kick kwa kutegeneza bifu kiba alimjibu ila kwa dharau ben po anamtakia mema kiba ila kuna mashabiki maandaZi kama pwilo wanamrudisha nyuma sana kiba na ndo hao wanamtia bichwa kuwa yeye ni zaidi ya diamond wakati kihalisia sio kweli na kiba anawadaganya always mashabiki wake anatakiwa abadilike
Hapa tunaongelea kiba na ben pol sasa wewe diamond(domo) kafikaje hapa ?? Ingekuwa hivyo simba na yanga zisingekuwepo hii sio vita ni ushabiki tu sasa kama unataka mtu akubali mawazo yako kama Abou Saydou [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuwa kama nifah be freeWw jamaa ni shabiki wa ukweli wa ali kiba kuna ww na nifah kwny ukweli tuongee ukweli ben po hawezi tafuta kick kwa kiba na always ben po anaongea ukweli na ni fan wa kiba kuna cku alishamuuliza kiba kwann unatafuta kick kwa kutegeneza bifu kiba alimjibu ila kwa dharau ben po anamtakia mema kiba ila kuna mashabiki maandaZi kama pwilo wanamrudisha nyuma sana kiba na ndo hao wanamtia bichwa kuwa yeye ni zaidi ya diamond wakati kihalisia sio kweli na kiba anawadaganya always mashabiki wake anatakiwa abadilike
Ben pol alimwambia mwana fa ile nyimbo angeshirikishwa yeye kiba kamuharabia sana au unaona kauli nzuri hiyo halafu unasema overrated ni sawa kwa ben pol kutumiaIle picha ina nini? Kwahiyo Kiba alichukia? Au una bahatisha tu
Kick!! Unadhani Ben Pol anaitaji kick kiasi hicho?
We ulishawahi kupongeza kipi alichofanya kiba kila kitu unaponda"Ww jamaa ni shabiki wa ukweli wa ali kiba kuna ww na nifah kwny ukweli tuongee ukweli ben po hawezi tafuta kick kwa kiba na always ben po anaongea ukweli na ni fan wa kiba kuna cku alishamuuliza kiba kwann unatafuta kick kwa kutegeneza bifu kiba alimjibu ila kwa dharau ben po anamtakia mema kiba ila kuna mashabiki maandaZi kama pwilo wanamrudisha nyuma sana kiba na ndo hao wanamtia bichwa kuwa yeye ni zaidi ya diamond wakati kihalisia sio kweli na kiba anawadaganya always mashabiki wake anatakiwa abadilike
sasa Ben pol mbona unatafuta kick kitoto sana hivi?