Ben Pol amshukia Ali Kiba

Ben Pol amshukia Ali Kiba

Demu wake nae kamsaidia kiba kwa kumponda Ben paul kua anawivu nyimbo zake za cokestudio hazijaingia kwenye album ya nyimbo bora za cokestudio.
 
Attachments

  • 1450376773704.jpg
    1450376773704.jpg
    27.7 KB · Views: 599
Hata daimond akiongea uwongo ataonekana mkwel. Napita ili hao walioitwa manyumbu waendelee na uzi huu
 
Mzeee Abou Saydou kila mtu na mawazo yake usitake tufanane mawazo kisa tupo team moja same team different ideas stick to your point mzee sio vita hii sawa
 
Last edited by a moderator:
Ww jamaa ni shabiki wa ukweli wa ali kiba kuna ww na nifah kwny ukweli tuongee ukweli ben po hawezi tafuta kick kwa kiba na always ben po anaongea ukweli na ni fan wa kiba kuna cku alishamuuliza kiba kwann unatafuta kick kwa kutegeneza bifu kiba alimjibu ila kwa dharau ben po anamtakia mema kiba ila kuna mashabiki maandaZi kama pwilo wanamrudisha nyuma sana kiba na ndo hao wanamtia bichwa kuwa yeye ni zaidi ya diamond wakati kihalisia sio kweli na kiba anawadaganya always mashabiki wake anatakiwa abadilike
Abou Saydou bwana yani kiba angekuwa anasikiliza mawazo ya watu kama nyinyi ingekuwa kasharudi k/koo anauza duka aisee
 
Last edited by a moderator:
Ww jamaa ni shabiki wa ukweli wa ali kiba kuna ww na nifah kwny ukweli tuongee ukweli ben po hawezi tafuta kick kwa kiba na always ben po anaongea ukweli na ni fan wa kiba kuna cku alishamuuliza kiba kwann unatafuta kick kwa kutegeneza bifu kiba alimjibu ila kwa dharau ben po anamtakia mema kiba ila kuna mashabiki maandaZi kama pwilo wanamrudisha nyuma sana kiba na ndo hao wanamtia bichwa kuwa yeye ni zaidi ya diamond wakati kihalisia sio kweli na kiba anawadaganya always mashabiki wake anatakiwa abadilike
Hapa tunaongelea kiba na ben pol sasa wewe diamond(domo) kafikaje hapa ?? Ingekuwa hivyo simba na yanga zisingekuwepo hii sio vita ni ushabiki tu sasa kama unataka mtu akubali mawazo yako kama Abou Saydou [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuwa kama nifah be free
 
Last edited by a moderator:
Wachawi wa maendeleo ya Kiba ni wale wasioUona ukweli. Wanaoficha kumwambia na kumpandisha kwa sifa zinazozidi kazi anazofanya inachangia yy kubweteka..wakat wenzake wanapaa
 
Ile picha ina nini? Kwahiyo Kiba alichukia? Au una bahatisha tu
Ben pol alimwambia mwana fa ile nyimbo angeshirikishwa yeye kiba kamuharabia sana au unaona kauli nzuri hiyo halafu unasema overrated ni sawa kwa ben pol kutumia
 
Ww jamaa ni shabiki wa ukweli wa ali kiba kuna ww na nifah kwny ukweli tuongee ukweli ben po hawezi tafuta kick kwa kiba na always ben po anaongea ukweli na ni fan wa kiba kuna cku alishamuuliza kiba kwann unatafuta kick kwa kutegeneza bifu kiba alimjibu ila kwa dharau ben po anamtakia mema kiba ila kuna mashabiki maandaZi kama pwilo wanamrudisha nyuma sana kiba na ndo hao wanamtia bichwa kuwa yeye ni zaidi ya diamond wakati kihalisia sio kweli na kiba anawadaganya always mashabiki wake anatakiwa abadilike
We ulishawahi kupongeza kipi alichofanya kiba kila kitu unaponda"
 
Last edited by a moderator:
Kwa maono yake ben pol, anaona km hapati hadhi yy pamoja na nyimbo zake cocestudio km anavotarajia kulingana na uwezo wake, ila me naona tatizo ni mashabiki, ben pol bado ana washabiki wachache EA tofauti na Alikiba, kuingiza nyimbo kwny album ya cokestudio kunaitaji kupigiwa kura na hapo ndo ben pol anaposhindwa kuingia kwakuwa kura zake hazitoshi....! Majipu on trend haaaa haaa!
 
Back
Top Bottom