Ben Pol amshukia Ali Kiba

Tena hilo la uzungu uzungu wa 7 nalo ni bonge la tatizo! 7 anatakiwa ku-manage watu wanaofanya muziki wa mahotelini na sio muziki wa mtaa!!

Kama 7 ndo yule dada niliyesoma nae Ashira basi Kiba kweli ana kazi. Yule dada sijui alikaa marekani maana ni zaindi ya mzungu. Alikuwa haongei kiswahili mchaga yule ni full mzungu. Alikiwa na interest ya mziki tangu secondary.
 
Sifahamu kasomea wapi lakini sifa unazotaja ndo zake kabisa including hilo la kupenda muziki! Jina lake official ni Christine Mosha... je, hatakuwa mwenyewe kweli?!!
 
Mzee wa essay kashaharibu hii thread yani kitu kidogo maelezo mengi hio ni ishara ya mtu kilaza hii thread itakimbizwa balaa
Tatizo unapenda sana ku-argue na mimi wakati mie sio level yako!
 
Acha mambo ya ki-cho'ko!
Sasa mkuu sija ku mention wala sija ku tag sasa uchoko wangu mimi nini ?? Au wanakupuliwa siku hizi maana unastuka kama rey [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
wewe unafikiri sisi mashabiki wa kiba tuna matazamo gani?
labda naweza nikabadilika

Alikiba anajua sana mziki ila tangu arejee hajafanya chochote cha maana na hata nyimbo anazotoa sio ule uwezo wake ni chini ya kiwango lakin mashabiki zake badala ya kumshauri vizuri na namna ya kufanya atoke nyie mmekalia bifu la diamond na kulazimisha kiba awe juu wakati kwa sasa hatoi nyimbo nzuri na kwa wakati
 
Sasa mkuu sija ku mention wala sija ku tag sasa uchoko wangu mimi nini ?? Au wanakupuliwa siku hizi maana unastuka kama rey
Ndo tabia za kicho'ko zenyewe manake macho'ko badala ya kum-face mtu live huwa wana-opt kuongea kimafumbo ili baadae waseme kama ulivyosema! Sasa nakukumbusha; achana na mimi.
 
kwahiyo nyimbo alizotoa Alikiba sio kiwango chako au. hebu niambie kiwango cha Kiba atoe nyimbo ziwe vipi?

hakuna anayelazimisha bifu hapa. nyie mashabaki wa mondi mna tabu sana.
#kingkiba
 
kwahiyo nyimbo alizotoa Alikiba sio kiwango chako au. hebu niambie kiwango cha Kiba atoe nyimbo ziwe vipi?

hakuna anayelazimisha bifu hapa. nyie mashabaki wa mondi mna tabu sana.
#kingkiba

Me ni shabiki wa alikiba sio mond wewe ila me sio nyumbu na siend na mkumbo huwa napenda mtu aambiwe ukweli ili abadilike! Tukiendelea kumjaza sifa za uongo alikiba ataishia wimbo wake kupigwa mara moja pekee tv za nje kisha unatupwa kapuni wakati watoto wadogo kama vanesa na navykenzo wanaingia mpaka top ten!
 
Tatizo unapenda sana ku-argue na mimi wakati mie sio level yako!
Jibu swali na uache ujinga mi sina mda wa kubishana na wewe wala kusoma essay zako na hakuna sehemu ambayo nime ku tag au ku mention id name yako
 
Ndo tabia za kicho'ko zenyewe manake macho'ko badala ya kum-face mtu live huwa wana-opt kuongea kimafumbo ili baadae waseme kama ulivyosema! Sasa nakukumbusha; achana na mimi.
Niachane na wewe nilikuowa au? Acha kukurupuka essay zake mi siwezi soma mzee kama ni wewe kweli lakni
 
Sifahamu kasomea wapi lakini sifa unazotaja ndo zake kabisa including hilo la kupenda muziki! Jina lake official ni Christine Mosha... je, hatakuwa mwenyewe kweli?!!

Ndo huyo Christine Mosha. Duuh mzungu yule. Alikuwa mbele yangu. Nakumbuka kwenye show za mzuki shukeni alikuwa anapafom powa tatizo lake ni uzungu na alikuwa anachagua watu kusocialize nao.
 
Jibu swali na uache ujinga mi sina mda wa kubishana na wewe wala kusoma essay zako na hakuna sehemu ambayo nime ku tag au ku mention id name yako
piece of written masturbation...
 
nashukuru kuwa tuko pamoja.

hata me napenda kumuona Kiba anakuwa juu zaidi kwa kutoa nyimbo nzuri pia na video. kila kitu mipango tu. cha msingi ngoja tuone atatoa nini kipindi hiki.

kiba anakosea pale video inapochukua mda mrefu. ila naamini kazi zake ni nzuri. usijali shabiki mwenzangu mambo yatakuwa sawa tu.
 
Ndo huyo Christine Mosha. Duuh mzungu yule. Alikuwa mbele yangu. Nakumbuka kwenye show za mzuki shukeni alikuwa anapafom powa tatizo lake ni uzungu na alikuwa anachagua watu kusocialize nao.
Umeona enh!! Na ile lifestyle yake ku-manage bongo flavor ambayo ipo mtaani zaidi lazima iwe ngumu!! Tena nadhani pale Rockstar anahusika na talent acquisition or kitu kinachofanana na hicho! Sasa talents anazipata lakini wanashindwa kuziendeleza na kuzi-maintain; tena wapo na Ali Kiba muda mrefu sana sasa.
 
Na linapokuja suala la video; si tu kwamba anachelewa bali hata strategy anayotumia sio mzuri! Ushabiki wa muziki hv sasa umehamia zaidi kwenye video! Sasa unapoanza kutoa audio b4 video, tarajia response kuwa ndogo! Na ukichelewa sana kutoa video hadi watu wakaizoea audio; hata ukitoa video kali; bado itaonekana ya kawaida unless iwe na kitu very special... kuwe na utundu wa sanaa ndani yake!!
 
Mkuu atakukasirisha bure huyo.. She is a mess. Leave her alone.
Ndo tabia za kicho'ko zenyewe manake macho'ko badala ya kum-face mtu live huwa wana-opt kuongea kimafumbo ili baadae waseme kama ulivyosema! Sasa nakukumbusha; achana na mimi.
 
Sasa hivi naanza kupata picha kumbe huyu Mpwilo ndio Joketi Kijoti
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jf bhna asante pagan you made my day
 
Mkuu atakukasirisha bure huyo.. She is a mess. Leave her alone.
Thanks data, hata mwenyewe baadae nikagundua nabishana na mtu asiye na quality yoyote ku-argue nae manake hamna chochote anachokijua na hata huo muziki wenyewe haujui!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…