Nauona ukweli wa wazi wazi ndani ya kauli yako...Huyo mama kazaliwa huko Oysterbay kimakosa tu maana ana vijitabia vya kwetu uswahilini Manzese, Mbagala kwa mfuga mbwa. Anaona noma tu kuvamia vigodoro lakini kukweli akivisikia tu anaanza kuwashwa washwa.
Kate, wallah tena, enzi hizo, duh-- nilikuwa nam-feel bhana, we acha tu!! Enzi hizo, Kate anagongwa lakini wala hujui kwamba anagongwa... full underground; utafikiri mtoto wa paroko-- hadi akaaminika kwenye kwaya za kanisa!!Mkuu mwanamke anapokua ktk middle thrties na bado ananunua vijana ni hatari. Huyu anachanganyikiwa c mda.. Ni wa kusamehe tu.
So unaangalia Sophia,
Tukianza hapa kuziorodhesha za Kiba zilizohit si tutajaza uzi???
Ben Paul ni wivu unamsumbua hakuna kingine,
Na nyie team domo acheni ushabiki maandazi.
Uh uh... Vip tena wewe.!? Huko tulishatoka mdaaa. We ulikua wapi?
So unaangalia Sophia,
Tukianza hapa kuziorodhesha za Kiba zilizohit si tutajaza uzi???b
Ben Paul ni wivu unamsumbua hakuna kingine,
Na nyie team domo acheni ushabiki maandazi.
Nadhani alicho maanisha ni kwamba Ali Kiba amekua rated kwa level za Diamomd kiasi kwamba kila anachofanya kinapaswa kufikia au kuzidi anachafonya Diamond
Ali Kiba ni mzuri sana kimuziki akiwa kama Ali Kiba
Lakini Ali Kiba hafanyi vizuri ikiwa anakua rated na mafanikio ya Diamond
Na ndio maana akauliza je haimsumbui Kiba kuwa overrated? Hakutaka tu kumalizia kwa level za Diamond kuepusha maneno zaidi
Wanamuziki wapo wengi wazuri kama Barnaba, Ben Pol mwenyewe, Ommy Dimpoz nk, wanafanya vizuri sana kwa level zao sababu hawafanyi kazi chini ya kivuli cha mwingine
Lakini Ali Kiba kila anachofanya kinakua Vs Diamond kitu ambacho kinamtesa na kumsumbua sana
Akishatoka kwenye suala la management arudi kwenye the real Ali kiba...alikiba wa Cinderella na ya Kareem nk...
Sikuhizi pua nyingi mixer mivurugano..
We want the Ali Kiba ambae R Kelly mwenyewe alimkubali hadi kumpa nafasi ya kuanza ktk ngoma ya one8. That Ali kiba angetoboza mbali,ila this Ali kiba mpaka Neema ishuke.
Mashabiki zake hawataki kusikia ukweli huu wao kazi yao kumkamia tu kiwa ni zaidi ya diamond kitu ambacho ni uongo.Nadhani alicho maanisha ni kwamba Ali Kiba amekua rated kwa level za Diamomd kiasi kwamba kila anachofanya kinapaswa kufikia au kuzidi anachafonya Diamond
Ali Kiba ni mzuri sana kimuziki akiwa kama Ali Kiba
Lakini Ali Kiba hafanyi vizuri ikiwa anakua rated na mafanikio ya Diamond
Na ndio maana akauliza je haimsumbui Kiba kuwa overrated? Hakutaka tu kumalizia kwa level za Diamond kuepusha maneno zaidi
Wanamuziki wapo wengi wazuri kama Barnaba, Ben Pol mwenyewe, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko nk, wanafanya vizuri sana kwa level zao sababu hawafanyi kazi chini ya kivuli cha mwingine
Lakini Ali Kiba kila anachofanya kinakua Vs Diamond kitu ambacho kinamtesa na kumsumbua sana sababu wanaomekana wako level moja kitu ambacho sio kweli
Ben pol kaongea ukweli me na muunga mkono ila sio mbaya ndo size ya kiba huyu ben pol
Huo ni mtazamo wako
Nadhani alicho maanisha ni kwamba Ali Kiba amekua rated kwa level za Diamomd kiasi kwamba kila anachofanya kinapaswa kufikia au kuzidi anachafonya Diamond
Ali Kiba ni mzuri sana kimuziki akiwa kama Ali Kiba
Lakini Ali Kiba hafanyi vizuri ikiwa anakua rated na mafanikio ya Diamond
Na ndio maana akauliza je haimsumbui Kiba kuwa overrated? Hakutaka tu kumalizia kwa level za Diamond kuepusha maneno zaidi
Wanamuziki wapo wengi wazuri kama Barnaba, Ben Pol mwenyewe, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko nk, wanafanya vizuri sana kwa level zao sababu hawafanyi kazi chini ya kivuli cha mwingine
Lakini Ali Kiba kila anachofanya kinakua Vs Diamond kitu ambacho kinamtesa na kumsumbua sana sababu wanaomekana wako level moja kitu ambacho sio kweli
We mtazamo wak upi?
Na je Ali Kiba alisema anashindana na Diamond?
Au mashabiki ndio wanamshindanisha na Diamond,
Kiba yupo vile wala hana ushindani na mtu,
Nakumbuka mapambano ya
Khadija kopa vs Nasma,
Kanumba vs Ray,
Dudu baya vs Mr. Nice,
East cost vs TMK,
Hao lisha ya kua mashabiki waliwashindanisha kwa kujigawa n.k hata wao walikua wanapenda kushindana,
Tunarudi kwa Kiba vs Diamond,
Je Kiba amesema anashindana na Diamond??
Nini chanzo cha hilo 'bifu'
Kosa ni Ali Kiba kurudi ktk game na watu kumpokea wkt huo diamond ana hit??
Au nini sababu.
Ali Kiba kujiita THE RETURN OF THE KING alikuwa na maana gani?
wakati kuna Raisi wa# awamu ijayo?