Na je Ali Kiba alisema anashindana na Diamond?
Au mashabiki ndio wanamshindanisha na Diamond,
Kiba yupo vile wala hana ushindani na mtu,
Nakumbuka mapambano ya
Khadija kopa vs Nasma,
Kanumba vs Ray,
Dudu baya vs Mr. Nice,
East cost vs TMK,
Hao lisha ya kua mashabiki waliwashindanisha kwa kujigawa n.k hata wao walikua wanapenda kushindana,
Tunarudi kwa Kiba vs Diamond,
Je Kiba amesema anashindana na Diamond??
Nini chanzo cha hilo 'bifu'
Kosa ni Ali Kiba kurudi ktk game na watu kumpokea wkt huo diamond ana hit??
Au nini sababu.