mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,570
Ni fashion tu japo haingii kwenye utamadun na destur zetu, wasani wengi tu washavaa sketi kama snoop doggy, Kanye west na 2chainz.pia wanasema " Real men wear skirts"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikukaa njema hatuko uingereza kwa ma duke
Realy men wear skirts.....?aah wapi,,,,,, mambo mengine hayafai kuigwa.....hizo tamaduni zingine tuwaachiage wenyeweNi fashion tu japo haingii kwenye utamadun na destur zetu, wasani wengi tu washavaa sketi kama snoop doggy, Kanye west na 2chainz.pia wanasema " Real men wear skirts"
Ni fashion tu japo haingii kwenye utamadun na destur zetu, wasani wengi tu washavaa sketi kama snoop doggy, Kanye west na 2chainz.pia wanasema " Real men wear skirts"
Duh real men wear skirts.Asanthe.Ni fashion tu japo haingii kwenye utamadun na destur zetu, wasani wengi tu washavaa sketi kama snoop doggy, Kanye west na 2chainz.pia wanasema " Real men wear skirts"
Wanasema mkuu...siyo mimi nimesema[emoji1]Kwa hiyo mkuu una seti yako ya sketi kwenye kabati......otherwise you are not real man!!
Watamtongoza halafu iwe balaa.Kuleta uskochi bongo
Snura alisema anampenda sana dogo amuoe eti dogo hana kibamia, ila dogo amekamatia dini ya kikristo dizain flani so mission impossible.Toka apigwe denda hadhaani na Snura....nimemshusha thamani