Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

Ni fashion tu japo haingii kwenye utamadun na destur zetu, wasani wengi tu washavaa sketi kama snoop doggy, Kanye west na 2chainz.pia wanasema " Real men wear skirts"
 
aiseeee huyu nae ameanza tabia za namna hii?
 
Ni fashion tu japo haingii kwenye utamadun na destur zetu, wasani wengi tu washavaa sketi kama snoop doggy, Kanye west na 2chainz.pia wanasema " Real men wear skirts"
Realy men wear skirts.....?aah wapi,,,,,, mambo mengine hayafai kuigwa.....hizo tamaduni zingine tuwaachiage wenyewe
Mbona vijana tunakua malimbukeni sana na haya mambo
 
*mimi sijali yenu maneno*

maneno ya ben paul kwny ngma yake fln
 
Ni fashion tu japo haingii kwenye utamadun na destur zetu, wasani wengi tu washavaa sketi kama snoop doggy, Kanye west na 2chainz.pia wanasema " Real men wear skirts"

Kwa hiyo mkuu una seti yako ya sketi kwenye kabati......otherwise you are not real man!!
 
Toka apigwe denda hadhaani na Snura....nimemshusha thamani
 
Akivaa mzungu fresh akivaa mswahili shida.....
 
Hata suruali waafrika tumedesa tu.

Kama kuiga tamaduni za watu siyo vizuri then we've to go back to our roots.

Turudi kwenye magome na ngozi.
 
Toka apigwe denda hadhaani na Snura....nimemshusha thamani
Snura alisema anampenda sana dogo amuoe eti dogo hana kibamia, ila dogo amekamatia dini ya kikristo dizain flani so mission impossible.
 
Back
Top Bottom