Ben Saanane aliniunganisha na wauza kemikali za migodini kutoka India, nikawa napeleka Msumbiji migodini. Leo simpati

Ben Saanane aliniunganisha na wauza kemikali za migodini kutoka India, nikawa napeleka Msumbiji migodini. Leo simpati

He was doing his PhD that period.
Naweza kusema mleta uzi siyo mkweli.
Enzi za mwampamba, zitto, juliana, kitila mkumbo, mghamba ulikua wapi tuanzie hapo, historia ya masters yake unaijua alifanyia wapi? Unajua aliishi india miaka mingapi? Unajua alikua creative director wa kampuni ipi ukiacha huko chadema?
 
Wamekwambia bado wanachunguza?
Yaani muuaji achunguze mauaji?
IMG-20240905-WA0000.jpg
 
Sasa kamuulize vyema, gungu kaka yake na njalu mbunge wa bariadi kua Vizag wa india uliwafahamu vipi, ambao kama bado nae anaendelea nao kupatiwa chemikali za generies zao, asipotaja jina Ben njoo hapa,
Kumbe Ben Saanane aliyasaidia maisha hadi hayo ma-CCM uliyoyataja? Ila bado yakamuua?

Kumbe Ben hakuwa na roho mbaya aiseee. Mwenyezi ampe pumziko jema.
 
Leo siasa pembeni

Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi

Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.

Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.

Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.

Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Aise copper sulphate naweza ipata
Duh pole sana kamanda

Ova
 
Leo siasa pembeni

Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi

Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.

Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.

Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.

Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Vp ushamkagua mkeo vidole vya mguu kama vimeachana
Maana ulimuita mshenzi
 
Kwakua Ben saa nane jamaa Yako ndio maana umeumia ila wengine wakitekwa hua unafurahi sio jinga sana wewe hua mnaendekeza uchama mpaka watu wenu wa karibu wakipotezwa ndio mnaiifanya mnaumia
 
Kwakua Ben saa nane jamaa Yako ndio maana umeumia ila wengine wakitekwa hua unafurahi sio jinga sana wewe hua mnaendekeza uchama mpaka watu wenu wa karibu wakipotezwa ndio mnaiifanya mnaumia
Ya Ben ilinigusa sana nimestukia mchezo kumbe mambo ni real Saa8 , hayupo tena
 
Siasa muda mwingine ni hatari sana.mafwele wa sativa aulizwe vizuri huenda anajua aliko

Ben mwenyewe alisema alitumiwa ujumbe na mtu asiyejulikana akimpa warning kwamba akiendelea kumsema "Mzirankende" basi ipo siku atajikuta yupo na CHATU wa CHATTLE means alishaliwa na chatu.
 
Ben mwenyewe alisema alitumiwa ujumbe na mtu asiyejulikana akimpa warning kwamba akiendelea kumsema "Mzirankende" basi ipo siku atajikuta yupo na CHATU wa CHATTLE means alishaliwa na chatu.
Kesi yake ya kwanza hapa kuna mwanamke wa kariakoo aliandika alimtapeli.
Hapo hakua kwenye siasa.
Mambo ingine mnasingizia watu tu.
Mzilankende hawezi kushughulika na hiyo taka.
Alikua anatishia watu wenye siasa zao wamlipe asiwaanike.
Muulizeni Mbowe anajua yuko wapi.
Nyie mnahangaika kwenda kuandamana mtapigwa mwenyekiti anapata ruzuku anagawana na mkwe wake nyie mmeumizwa.
Kesho anakuja na porojo zingine.
 
Back
Top Bottom