Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wamekwambia bado wanachunguza?namini jeshi la polisi litakuja na majibu ya kina juu ya hili uzuri uchunguzi bado unaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekwambia bado wanachunguza?namini jeshi la polisi litakuja na majibu ya kina juu ya hili uzuri uchunguzi bado unaendelea
Enzi za mwampamba, zitto, juliana, kitila mkumbo, mghamba ulikua wapi tuanzie hapo, historia ya masters yake unaijua alifanyia wapi? Unajua aliishi india miaka mingapi? Unajua alikua creative director wa kampuni ipi ukiacha huko chadema?He was doing his PhD that period.
Naweza kusema mleta uzi siyo mkweli.
Yaani muuaji achunguze mauaji?Wamekwambia bado wanachunguza?
Sasa kamuulize vyema, gungu kaka yake na njalu mbunge wa bariadi kua Vizag wa india uliwafahamu vipi, ambao kama bado nae anaendelea nao kupatiwa chemikali za generies zao, asipotaja jina Ben njoo hapa,He was doing his PhD that period.
Naweza kusema mleta uzi siyo mkweli.
Kumbe Ben Saanane aliyasaidia maisha hadi hayo ma-CCM uliyoyataja? Ila bado yakamuua?Sasa kamuulize vyema, gungu kaka yake na njalu mbunge wa bariadi kua Vizag wa india uliwafahamu vipi, ambao kama bado nae anaendelea nao kupatiwa chemikali za generies zao, asipotaja jina Ben njoo hapa,
Aise copper sulphate naweza ipataLeo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.
Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Vp ushamkagua mkeo vidole vya mguu kama vimeachanaLeo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.
Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Kabisa mkuu. Tuendelee kuliamini Jeshi letu. Haya yote yatatolewa majibu hivi karibuninamini jeshi la polisi litakuja na majibu ya kina juu ya hili uzuri uchunguzi bado unaendelea
Genta mtani wangu hua tunataniana sanaVp ushamkagua mkeo vidole vya mguu kama vimeachana
Maana ulimuita mshenzi
Ya Ben ilinigusa sana nimestukia mchezo kumbe mambo ni real Saa8 , hayupo tenaKwakua Ben saa nane jamaa Yako ndio maana umeumia ila wengine wakitekwa hua unafurahi sio jinga sana wewe hua mnaendekeza uchama mpaka watu wenu wa karibu wakipotezwa ndio mnaiifanya mnaumia
Bashit malyangil mpumbavu wa milele, kateka na kuua Kwa kulinda tumbo lakeMkolomije,nzirankende na vizazi vyao vilaaniwe!! Unaua mtu kisa kutofautiana mtazamo binafsi?
nilisikia jamaa alimwomba msamaa yakaisha .Magu huko aliko, sijui kama ana ujasiri wa kumtazama Ben machoni hata kwa sekundu moja.
Siasa muda mwingine ni hatari sana.mafwele wa sativa aulizwe vizuri huenda anajua aliko
Kesi yake ya kwanza hapa kuna mwanamke wa kariakoo aliandika alimtapeli.Ben mwenyewe alisema alitumiwa ujumbe na mtu asiyejulikana akimpa warning kwamba akiendelea kumsema "Mzirankende" basi ipo siku atajikuta yupo na CHATU wa CHATTLE means alishaliwa na chatu.