Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

now we are talking about misjudgments, me i don't have some moral epiphany
mtu yoyote anaweza kuropoka tu but sometimes you need to shut your mouth no matter what you might be feeling and holding it together when the stakes are higher than yourself...it is politics not revolutions
huyo mwenzio hapo juu kasems it dont matter na wewe umesema 'me i...'..hii me i..walimu wangu wa form two wamenikung'uta sana,walidai huwezi weka jina na kiwakilishi hapohapo..nadhani me and i ni kitu kimoja..au laa niwatukane walimu wangu kwa kunipotosha
 
Only dictators would like people to shut their mouths.
 
Hivi binadamu wote wenye mapenzi mema tukifunga na kumwangukia Mungu wetu atuonyeshe kwa uwazi kilicho mpata Ben ili kama kafa tujue tuweke matanga tusahau, kama yupo yuko wapi? na nani muhusika wa kadhia hii tumjue tumwambie ASANTE KWA ULILOTENDA hatatujibu?
Mungu hashindwi Jambo lolote jamaa yangu ,
 
Afu mbona account yake ipo online anatumia Nani siku hizi.
 
Hivi binadamu wote wenye mapenzi mema tukifunga na kumwangukia Mungu wetu atuonyeshe kwa uwazi kilicho mpata Ben ili kama kafa tujue tuweke matanga tusahau, kama yupo yuko wapi? na nani muhusika wa kadhia hii tumjue tumwambie ASANTE KWA ULILOTENDA hatatujibu?
Mimi nadhani hata sisi wanachama wa JF, wenye kuguswa na hili, tuangalie uwezekano wa kutoa dau. Tunaweza kabisa humu, kupata pesa ya kuweka kama zawadi kwa mwenye taarifa nk. Huo ni mwanzo.

Ni bora kuliko ukimya tu.
 
now we are talking about misjudgments, me i don't have some moral epiphany
mtu yoyote anaweza kuropoka tu but sometimes you need to shut your mouth no matter what you might be feeling and holding it together when the stakes are higher than yourself...it is politics not revolutions
I'm talking "political misjudgments"
 
Mimi nadhani hata sisi wanachama wa JF, wenye kuguswa na hili, tuangalie uwezekano wa kutoa dau. Tunaweza kabisa humu, kupata pesa ya kuweka kama zawadi kwa mwenye taarifa nk. Huo ni mwanzo.

Ni bora kuliko ukimya tu.
Wazo zuri kijana
 
huyo mwenzio hapo juu kasems it dont matter na wewe umesema 'me i...'..hii me i..walimu wangu wa form two wamenikung'uta sana,walidai huwezi weka jina na kiwakilishi hapohapo..nadhani me and i ni kitu kimoja..au laa niwatukane walimu wangu kwa kunipotosha

jikite kwenye hoja na uache ushambenga sababu inaonekana ujui unachoongea, kwa kukusaidia tu soma kitu kinaitwa Dialects of English halafu uje tena
 
Back
Top Bottom