Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

huyo mwenzio hapo juu kasems it dont matter na wewe umesema 'me i...'..hii me i..walimu wangu wa form two wamenikung'uta sana,walidai huwezi weka jina na kiwakilishi hapohapo..nadhani me and i ni kitu kimoja..au laa niwatukane walimu wangu kwa kunipotosha
 
Only dictators would like people to shut their mouths.
 
Mungu hashindwi Jambo lolote jamaa yangu ,
 
Afu mbona account yake ipo online anatumia Nani siku hizi.
 
R.I.P kamanda,damu yako haitoenda bure..!!
 
Mimi nadhani hata sisi wanachama wa JF, wenye kuguswa na hili, tuangalie uwezekano wa kutoa dau. Tunaweza kabisa humu, kupata pesa ya kuweka kama zawadi kwa mwenye taarifa nk. Huo ni mwanzo.

Ni bora kuliko ukimya tu.
 
I'm talking "political misjudgments"
 
Mimi nadhani hata sisi wanachama wa JF, wenye kuguswa na hili, tuangalie uwezekano wa kutoa dau. Tunaweza kabisa humu, kupata pesa ya kuweka kama zawadi kwa mwenye taarifa nk. Huo ni mwanzo.

Ni bora kuliko ukimya tu.
Wazo zuri kijana
 
jikite kwenye hoja na uache ushambenga sababu inaonekana ujui unachoongea, kwa kukusaidia tu soma kitu kinaitwa Dialects of English halafu uje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…