Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mmoja wa washukiwa wa kupotea kwa Benard Saa Nane ametajwa humu ndani ya JF akitumia ID fake ya TumainEL , limenukuliwa andiko lake la kinyama akimtishia waziwazi Ben ya kwamba atamalizwa , Kwa manufaa ya jf ni vema mkiweka kumbukumbu sawaUhai hutolewa na Mungu, ila kama binadamu ameamua kukatisha maisha Uhai wako kwasababu tu ya siasa, Mungu huyo na anayashuhuduia yote
Wana Jf karibu wote wanajifanya usalama wa taifa, Mkuu msamehe tuHuyu jamaa huwa anajifanya kujua..au ndio alihusika..maana alijiamininsaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo pia aliomtishia LissuMmoja wa washukiwa wa kupotea kwa Benard Saa Nane ametajwa humu ndani ya JF akitumia ID fake ya TumainEL , limenukuliwa andiko lake la kinyama akimtishia waziwazi Ben ya kwamba atamalizwa , Kwa manufaa ya jf ni vema mkiweka kumbukumbu sawa
Hata wewe ukifa mke/ mume, watoto, hata wazazi wako maisha yataendelea kama kawaida watoto wataenda shule na mama ataendelea na shughuli zake. Kwa hiyo ukitaka mwenyekiti wake waache kila kitu alisaini ruzuku kwa vile Ben amepotea!I fell so sad for ben, walimshangilia wengi ila wanaolia ni familia yake. Mwenyekiti anasaini ruzuku milion 300 ... naomba niishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendelee kuweka kumbukumbu vizuri
Damu zilizomwagika zitawalilia wao na familia zao,vizazi na vizazi.Mungu hadhihakiwiWanaohusika na kupotea kwa Ben Saanane ni Bashite na Baba yake dhalimu aliyesukumiziwa Ikulu.
Awamu hii ikiisha waanze kudeal na BASHITE,Yeye kabla siku mbili kupotea alikuwa na ahadi ya kukutana na BEN inaonekana alikuwa anamuingiza kwenye 18 zake.Hivi unadhani kweli hutakuja kujulikana? Labda yawe mapenzi ya Mungu ndio haitakuwa hivyo.
Kumbuka hata GESTAPO walioshiriki mauaji wakati wa Hitler wengine wamekamatwa miaka 40 baadae huko South America
Sent using Jamii Forums mobile app
DAB sijui anafanya haya kwa manufaa ya nini? Atambue Dunia hii ina miaka zaidi ya bil 4.5 inamaanisha kuna watu walikuwepo miaka hiyo 2000 iliyopita na wakapotea,America/Ulaya walikuwa na maghorofa miaka hiyo ya 1700 yaani miaka 310 iliyopita,miaka ya kuishia mwanadamu ni 63 kwa sasa ana 36!!!Makonda ndio kinara wameandika sana huku watu
Shukrani mkuuHivi unadhani kweli hutakuja kujulikana? Labda yawe mapenzi ya Mungu ndio haitakuwa hivyo.
Kumbuka hata GESTAPO walioshiriki mauaji wakati wa Hitler wengine wamekamatwa miaka 40 baadae huko South America
Sent using Jamii Forums mobile app
....Shukrani mkuu
Duuh! Hivi hii habari ni kweli?
bora kufa ukipigania haki kuliko kufa kwa magonjwa (kisukari,ukimwi...) baada ya dhulma dhidi ya watu. Sote tutakufa hatahivyo!
Mmmmmmhhhh. Hatareeee.
Pole mkuu. Mungu atawaumbua tu miungu watu hawa siku moja.
Usirudi nyuma.
Hata na wao watakuja kufa. Kunachofanyika ni kutangulia. Ila wasisahau kwamba, wao wanaotishia kuuma wana ndugu na watoto ambao wanaishi kama wengine. It a Itafika Muda nao watauwawa