Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Ametumbuliwa siku hizi akili zimemrudia baada ya kupigwa njaa.Ameishia utabiri feki usiotimiaHuyu jamaa post # 44 kwenye uzi huu atakuwa ni mmoja wa wahusika wakuu kuhusu kupotea kwa huyu mwenzetu.
Chadema wanavotafutwa ili wafutwe si ndo Ingekuwa tiketi ya kuifutaKubenea alisema yupo kwenye vijiwe cya kahawa amejificha kutafuta sifa
Itajulikana tu maiti huwa haipotei hata wakificha, hakuna aliyeweza ficha maiti.lumumba, Sankara,Tom mboya,Haile sellasie,nk walificha at the end wahusika wote walikuwa openly.Wazazi wake wameomba hata kujua ulipotupwa mwili wake lakini wanadanganywa uchunguzi unaendelea wakati si kweli. November mwaka huu itakuwa ni miaka minne tangu “APOTEE”
Ambacho umesahau katika post hiyo yenye Likes 4 tu mpaka leo, miongoni mwa waliolike ni:-Huyu jamaa post # 44 kwenye uzi huu atakuwa ni mmoja wa wahusika wakuu kuhusu kupotea kwa huyu mwenzetu.
Yupo...Ametumbuliwa siku hizi akili zimemrudia baada ya kupigwa njaa.Ameishia utabiri feki usiotimia
Kuna wachungaji wanamuombea mtu fulani kila jumapili na humu wanasoma haya yote..Kisasi ni cha Mwenyenzi Mungu. Hakuna litakalopita hivi hivi bila kulitolea hukumu ya haki.
Ona ulivyo mnafiki karma inaanza kula kichogo wakati uli like alipotushiwa uhai.Kama kuna mwenye address ya Pampeo,
Naiomba.
P
Tuhuma zako nzito hizo,Mimi Nina rafiki Yangu kipindi kile Osama anatafutwa tulikuwa tumekaa kijiwenitunapiga story,yeye akasema Osama kajificha milima ya Kandahar, na kipindi hiko marekani walitangaza dau anaejua Osama alipo aseme ili alambe mihela na uraia juu,yule rafiki Yangu tukamwambia piga simu ubalozi uwaambie wakamkamate ulambe mziko,au twende ubalozi akagoma,Rest in Peace Ben.Ulikuwaga unatembea na sumu ili umuuwe Zitto,hatimae umetangulia na kumwacha Zitto bado anakula ugali.
Taarifa kama hii itapotea tu, iwe kama hakuna lililotokea hadi..., kiama?Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.
Tofautisha wachungaji na wajasiliadini.Wachungaji huwa awanywi kikombe kimoja na wadhalimu,soma maandikoKuna wachungaji wanamuombea mtu fulani kila jumapili na humu wanasoma haya yote..
Jamii ikiamua Hao ni mabua tu.Sudan, Zimbabwe,misri, Tunisia,Gambia,Walipe majaji na jeshi!mishahara na posho!!ngoja tuone hiyo october!!
Mchumia janga hula na wakwao @cc mwanakuli find mwanakuli getCCM ina wajibu wa kumtafuta Ben saanane maana CCM ndiyo Serikali, Je CCM mmeshindwa kabisa kujua ni wahuni gani walifanya haya mambo ndani ya Jamhuri ya Tanzania kuichafua Serikali yetu.
Kaka Pascal Mayalla hapo ulilike nini mkuuMsaliti hana sehem ndani yaa taifa hili. Don't waste your time tafuta huruma yaa jamii nakuweka namba zisizokuwepo kwenye mitandao. Hilo Ni taifa letu site na wasaliti hawana nafasi kuvuta pumzi hii nzuri Mungu aliwapa wa zalendo na sio wasaliti.
Narudia tena usipoteze muda wa watu kusoma mambo haya yasio na vina ukizingatii husemi ukweli kile unafanya gizani na kwa nini unayofanya gizani yasiwe giza la milele la maisha yako.....
Sema ukweli.....
Mkuu Machondela, kitendo cha kumuuliza mtu kwanini amelike post fulani, huko ni kuingilia the right privacy ya right to expression ya mtu.