Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Wazazi wake wameomba hata kujua ulipotupwa mwili wake lakini wanadanganywa uchunguzi unaendelea wakati si kweli. November mwaka huu itakuwa ni miaka minne tangu “APOTEE”
Itajulikana tu maiti huwa haipotei hata wakificha, hakuna aliyeweza ficha maiti.lumumba, Sankara,Tom mboya,Haile sellasie,nk walificha at the end wahusika wote walikuwa openly.
Hata Hawa kabla ajaondoka duniani ni lzm Siri ifichuke kwanza chain yote itakuwa wazii
 
Rest in Peace Ben.Ulikuwaga unatembea na sumu ili umuuwe Zitto,hatimae umetangulia na kumwacha Zitto bado anakula ugali.
Tuhuma zako nzito hizo,Mimi Nina rafiki Yangu kipindi kile Osama anatafutwa tulikuwa tumekaa kijiwenitunapiga story,yeye akasema Osama kajificha milima ya Kandahar, na kipindi hiko marekani walitangaza dau anaejua Osama alipo aseme ili alambe mihela na uraia juu,yule rafiki Yangu tukamwambia piga simu ubalozi uwaambie wakamkamate ulambe mziko,au twende ubalozi akagoma,
 
Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.
Taarifa kama hii itapotea tu, iwe kama hakuna lililotokea hadi..., kiama?

Mtu kama huyu, leo hii anafurahia maisha yake kwa madaraka na ujira alivyo navyo sasa?

Ben anaweza kuwa kahifadhiwa mahali, kuna siku ataachiwa aendelee na maisha yake?

Huyu mtu mwenye simu, ataendelea kufurahia matokeo ya kazi yake hadi lini, kuna siku naye atapata dhiki, tena dhiki kubwa zaidi?
 
Sio rahisi Hadi Sasa kwa Upendo na utu gani alionayo kwa binadamu wenzio amuhifadhi Hadi Sasa.Kuna baadhi ya watu Mungu ukosea Sana kuwaleta duniani waumize wasio hatia Ingefaa awaache wabakie kuzimu kumsaidia ibilisi kazi maana pana watu Wana PhD za roho mbaya usipime
 
CCM ina wajibu wa kumtafuta Ben saanane maana CCM ndiyo Serikali, Je CCM mmeshindwa kabisa kujua ni wahuni gani walifanya haya mambo ndani ya Jamhuri ya Tanzania kuichafua Serikali yetu.
 
CCM ina wajibu wa kumtafuta Ben saanane maana CCM ndiyo Serikali, Je CCM mmeshindwa kabisa kujua ni wahuni gani walifanya haya mambo ndani ya Jamhuri ya Tanzania kuichafua Serikali yetu.
Mchumia janga hula na wakwao @cc mwanakuli find mwanakuli get
 
Msaliti hana sehem ndani yaa taifa hili. Don't waste your time tafuta huruma yaa jamii nakuweka namba zisizokuwepo kwenye mitandao. Hilo Ni taifa letu site na wasaliti hawana nafasi kuvuta pumzi hii nzuri Mungu aliwapa wa zalendo na sio wasaliti.
Narudia tena usipoteze muda wa watu kusoma mambo haya yasio na vina ukizingatii husemi ukweli kile unafanya gizani na kwa nini unayofanya gizani yasiwe giza la milele la maisha yako.....
Sema ukweli.....
Kaka Pascal Mayalla hapo ulilike nini mkuu
Screenshot_20200601-091306.jpeg
Screenshot_20200601-091317.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20200601-091317.jpeg
    Screenshot_20200601-091317.jpeg
    12.6 KB · Views: 7
Mkuu Machondela, kitendo cha kumuuliza mtu kwanini amelike post fulani, huko ni kuingilia the right privacy ya right to expression ya mtu.

Wale wanaonifuatilia post zangu, mimi nikianzisha thread, kila anayechangia thread yangu, anakula like yangu, na kila post ninayoisoma humu jf, naidondoshea like, mimi hata mtu akinitukana, anakula like!.
P
 
Back
Top Bottom