Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Halafu, kuna kipindi namba yake ya simu ilikuwa inajitoa kwenye ma group mbalimbali ya WhatsApp, kuashiria kuwa, kuna mtu alianza kuitumia simu yake. Na kama tunavyojua, kujiunga whatsApp, unakuwa umeisajiri handset kwa kutumia namba ya simu. Hivyo, hata ukiweka line nyingine, unaowasiriana nao, utatambulika kwa ile namba ya awali, mpaka utakapo ifuta hiyo akaunti, na kujisajiri upya kwa namba nyingine!
Hivyo, wahusika hawakutaka tu kumtafuta huyo anayeitumia hiyo handset yake. Na jambo hilo, lililetwa hapa JF kipindi hicho!
 
Duh
 
Wewe jamaa sidhani kama hauhusiki na kupotea kwa ben.
Ndugu kuna kukosoa lakini Ben alifika alipo fika mm nilitabiri ila sina hata alama naye. Nanimetabiri mengi je ujayaona kosoa ila usiguse kusipoguswa.
soma uzi wangu ninanguvu za ajabu.. Mbona uhulizi kifo cha chadema nilicho tabiri 13.03.2016...
 
Ndugu kuna kukosoa lakini Ben alifika alipo fika mm nilitabiri ila sina hata alama naye. Nanimetabiri mengi je ujayaona kosoa ila usiguse kusipoguswa.
soma uzi wangu ninanguvu za ajabu.. Mbona uhulizi kifo cha chadema nilicho tabiri 13.03.2016...
Hauna cha nguvu wala nn? Damu ya mtu haiendi bure labda uwe kweli hujausika
 
Hauna cha nguvu wala nn? Damu ya mtu haiendi bure labda uwe kweli hujausika
Kwanza nikusahihishe nani kakwambia kuna dam ilimwagwa? Maana hakuna taarifa Ben kauwawa ila kapotea. Mwisho amini ninachokwambia nina nguvu za ajabu. Kuona mambo before hayajatokea.
 
Nakumbuka siku walipotaka kumdedisha Lissu, huyo Lowassa, Sumaye, Waitara nk, walionyesha sura za huzuni sana! Sikutegemea kama hao, na wengine waliokuwa upande huo, wangeungana na hao WAUAJI!
Siasa mchezo mchafu
 
Sidhani kama Ben amefariki,maana kuna siku nadhani mwezi wa kwanza au wa pili mwaka huu alichangia mada kwa ID yake.
ebalehii I'd nimeiona kule juu kwenye statement ya Ben vipi alikuwa na I'd mbili ?
 
So you are stupid right ?
Ulianza kuandika neno 'kwahiyo' badala ya 'kwa hiyo' Nikajibu kwa english kwa neno moja 'stupidity'
Sasa umeandika maneno 5 na question mark. Hapa ilihitajika 'commas' ili sentensi iwe na maana lakini hukuweka. alama ya kuuliza ilitakiwa iwe sehemu ya neno 'right?' na siyo 'right ?'
Kwa ujumla uko chini ya kiwango bila kujali unatumia lugha gani.
 
Sh'kamoooooo Mwaaaaaliiiimmmmm!
 
Sh'kamoooooo Mwaaaaaliiiimmmmm!
Oh! Kumbe waalimu pekee ndo wanatakiwa kuwa na ufahamu? Hata wenyeviti wa vyama vya siasa ni muhimu. Tusijikute vihiyo wa divisheni zero wanachukuwa nchi!
 
Ni katika mtizamo huu huu wako "---kitendo cha kumuuliza mtu kwa nini ame'like' post fulani, huko ni kuingilia the right to expression ya mtu"; na wewe unaingilia rights za watu wengine kwa kufanya unayoyaeleza hapo chini ya wewe kufanya hayo.

Huwa ninakereka sana kukuta 'like' zako kwenye mambo ninayoandika hapa ukumbini.
In a way, unakiuka 'rights' zangu kwa kulazimisha kuweka hizo 'likes' zako. Zinaudhi.

Kwa hiyo, usilazimishe kuweka chochote juu ya mabandiko ya wengine, kama wewe unaona " kuulizwa" ni kuvunja haki zako.
 
Nakumbuka siku walipotaka kumdedisha Lissu, huyo Lowassa, Sumaye, Waitara nk, walionyesha sura za huzuni sana! Sikutegemea kama hao, na wengine waliokuwa upande huo, wangeungana na hao WAUAJI!
Mkuu 'Ghiti Milimo', hao akina Lowassa na Sumaye hawana tofauti yoyote na "wanaouliwa".
Hawa ni wafu, wewe hilo hulioni, au mpaka lifafanuliwe?
Hebu piga kichwa kidogo utaelewa ninachokieleza hapa.

Lowassa na Sumaye ni wafu. Hawa akina Waitara na wengine walionunuliwa wao wana sababu zao na hawa wawili.
 
Kwa hiyo ?
 
Kwangu kutoa likes is an order of the day kuonyeshea appreciation kwa kila mtu anayechangia thread yangu, kwa kila mtu atakaye ni quote mchango wangu kwenye bandiko lolote, na pia huwa namwaga like kwa kila post ninayoisoma na kui appreciate hata ukinitukana, utakula likes, mini kwangu likes ni za Kumwaga. Kama likes zangu zinakukera sana, unaweza kuzizuia
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…