Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Halafu, kuna kipindi namba yake ya simu ilikuwa inajitoa kwenye ma group mbalimbali ya WhatsApp, kuashiria kuwa, kuna mtu alianza kuitumia simu yake. Na kama tunavyojua, kujiunga whatsApp, unakuwa umeisajiri handset kwa kutumia namba ya simu. Hivyo, hata ukiweka line nyingine, unaowasiriana nao, utatambulika kwa ile namba ya awali, mpaka utakapo ifuta hiyo akaunti, na kujisajiri upya kwa namba nyingine!
Hivyo, wahusika hawakutaka tu kumtafuta huyo anayeitumia hiyo handset yake. Na jambo hilo, lililetwa hapa JF kipindi hicho!
Hivyo, wahusika hawakutaka tu kumtafuta huyo anayeitumia hiyo handset yake. Na jambo hilo, lililetwa hapa JF kipindi hicho!