Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Kabisaaa!Kuridirudi kwa huu uzi ni kukumbusha kuwa ipo siku wahusika watajibu
Kama kuna kitu huyu fedhuli TumainiEl alidhania kimakosa, ni hapo alipodai eti “atakufa na hataweza kuja kuchangia humu tena”, kwamba atauwawa na kusahaulika kama watu wengine!Malipo yapo hapa hapa tunapoishi. Nawewe subiri malipo yapo na si muda sanaaaaa
Kama huna muda na hayo magazeti yake sasa unajuaje kama ni magazeti kama hujayasoma?? Hopeless comment ever!!Na mara nyingi sifanyi hivyo. Kwa maksudi mazima.
Kwa kawaida magazeti yako humu huwa sina muda nayo kabisa.
Itakuwa ni "hopeless comment" kwa mtu kilaza kama wewe, kwa sababu hujui njia zinazotumiwa ku'assess' vitu kama hivyo badala ya kutumia muda mwingi kulisoma gazeti zima. Kama hujui njia hizo, huwezi kuelewa.Kama huna muda na hayo magazeti yake sasa unajuaje kama ni magazeti kama hujayasoma?? Hopeless comment ever!!
Wewe una ushahidi kuwa hajauwawa? Yupo wapi?
Ndiyo maana mumemwua?Huwezi kujilinganisha na Jesus
Mungu atamlipa kila mtu kwa ayatendayoTunaendelea kukukumbuka rafiki yetu na Mtanzania mwenzetu.
Basi ninamuomba amlipe hata mwaka huu. inauma kwa kweliMungu atamlipa kila mtu kwa ayatendayo
Inauma sana.Basi ninamuomba amlipe hata mwaka huu. inauma kwa kweli